Recent content by SongombingoJr

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tabia za Mabosi waliopo kwenye Taasisi zenye njaa

    Wataje bhana. Au uzi umekugusa?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tabia za Mabosi waliopo kwenye Taasisi zenye njaa

    Kuna tabia mbalimbali wanakuwa nazo mabosi (hasa watendaji wakuu) wa taasisi za Serikali kama vile mabaraza, bodi, tume na baadhi ya Wizara . Taasisi hizi nyingi hazijiwezi hata kujiendesha vizuri. Watendaji wakuu/mabosi wa taasisi hizi wengi huwa na tabia zifuatazo; 1. Roho mbaya 2. Kila...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

    Ndio maana wanaamua kuajiri failures, kuna dogo hapa kitaa aliomba nafasi za polisi zilizotangazwa hivi karibuni lakini wamemkataa kwa sababu O-level alipata divisheni 3.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kutolewa kwenye mashindano Biashara united ni uzembe wa TFF na Waziri mwenye dhamana

    Hii Hii Wizara haina Waziri kwa sasa. Kwani mnamuona kwenye matukio gani siku hizi?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Simba SC hatutashiriki Kagame CUP, tunapumzika kwanza

    Sisi Mashabiki wa Simba kwenye mashindano haya tunahamia Azam. Au mnasemaje ndugu zangu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maandamano nchi nzima kupinga kupanda gharama za maisha

    Jamani tuendelee kula mtori. Nyama tutazikuta chini.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, ambao hamkupandishwa daraja mwezi uliopita kuna mtu amepanda au ndio tunasubiri bado?

    Acha kumshauri vibaya. Mwambie afanye kazi za Serikali kwa shingo upande lakini pia aanzishe project zake binafsi aweke bidii zaidi huko.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je, ambao hamkupandishwa daraja mwezi uliopita kuna mtu amepanda au ndio tunasubiri bado?

    Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mbinu hii ya Yanga SC si tu ni ya Kishamba bali pia ni ya Kipuuzi vile vile

    TFF na Bodi ya Ligi wanapaswa kuwachukulia hatua hawa UTOPOLO. Naona tangu TFF walipoamua kumuachia Braza Kitambi UTOPOLO wanajiona wana nguvu ya kutoa maelekezo kwa TFF.
  10. S

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ifuate mfano wa KKKT

    Dua zao huwa hazikubaliwi hawa ni wanafiki, uwaambie kupora misikiti na kugombania mapato ya misikiti.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaoijua Mgambo JKT Tanga ikoje mazingira yake?

    Nenda tu ukapoteze muda
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli leo nimewakubali wachezaji wa Simba

    Utopolo hawajielewi kabisa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Lawson haupatikani; Tatizo ni nini?

    Huu ni ujanja unafanyika kukwepa kuwapandisha madaraja watumishi.
Back
Top Bottom