Recent content by Songea Mjini

  1. S

    i love u so much please understand me

    Pole sana maisha ndivyo yalivyo, lakini naweza kukufaa kwa kufanya replacement
  2. S

    Vituko vya abunuasi ni noma

    hiyo kali, nimetamani mambo ya Abunuwas, natamani vitabu vipatikane madukani kama vitabu vya Nyangwine
  3. S

    Utoto bwana!!

    Nilishindwa kuvaa suruali, ilibidi dada yangu anivue suruali akimbie nyumbani kunichukulia kaptura safari ya kwenda kanisani iendelee, utoto bwana we acha tu, natamani kurudia utoto lakini ndo ishatoka hiyo.
  4. S

    serious man to build a family!

    Here for you, srainery85@gmail.com
Back
Top Bottom