Japo husemwa imani yako itakuponya but ktk elimu hata uamini vip uchawi haupo may be uutumie uchawi huo kumpumbaza msahihishaji napo mmmhhh cna uhakika.
..........husema kosea yooote but uckosee kuoa au kuolewa utaregrate, sasa ww ndugu yangu hata maisha ya ndoa tu na huyo shem hamjaanza tayari kuna dalili za kumrudia mzaz mwenzie, ucsubili mambo yawe magum, amua mapema na uchukue hatua kabla maj hayajawa shingon...
Bora ingekua maswala hayo ya kifamilia ambayo yanajulikana ni kawaida kulko mtu anapga cm hana cha kusema mkimaliza then dkka kadhaa anapga tena, wastan kwa cku anapga hata mara 10.
Sichukii yy kunipigia but ni vema akinipigia tuwe na la kuongea, unfortunately anapiga while nothing cha kuongea na hachoki anaendelea tu kucall dats prob!
Ndo nchi yetu inakoelekea na xaxa wanaongeza kuishusha thamani elmu yetu tz kwa kushusha viwango, mwisho tutabaki kuwa wakopaji tu wa mataifa mengine ambayo wenzetu wamexoma..... yataka moyo tuiombee nchi yetu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.