Hahaha upinzan naona mmeishiwa na bado tare25 ad mtakimbia jamvin .angalia mktano wa geita sasa iv c mafuliko c sunami nizaid ya sunami .kamat tendaj ya kampen yote ipo na inafanya kaz so peleka hiyo hoja hko ukawaaaaaa
Watanzania dah mbona tunashindwa ku reason cc wenyewe lowassa ambae alikuwa serikalin kwa miaka 30 kama wazir alishindwa kleta ma badiliko leo hii ana2hadaa nawatu macho yanawatoka ety rais haaaa nan amchague huyo fisad
Jaman kuanzia tareh 9 tcu wali update profile za wafunzi wote ambao wameomba vyuo mbalimbali.wale ambao walibahatika kufungua account zao wapo ambao waliambiwa wamepata na wapo waliokosa.waliokosa wslikuta notification inayowataka wa appy second round kwa chuo kimoja tuu .kwa sasa cas haifunguki...
Ipo pouwa lakin vyanzo vya uchumi ili kufanikisha hilo nitatizo .pil mweshimiwa nikwakipind kiref sana alikuwa ndani ya chama cha mapinduzi na serikal kwa ujumla katika nafas kubwa tyuuu mbona hakuyafanya hayo yote au hakushaur serikal!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.