Recent content by son_african_star

  1. son_african_star

    Hivi ndivyo unavyoweza tabia ya uvivu

    . Uvivu ni sababu nyingine ambayo inatukwamisha wengi wetu kupata matokeo sahihi kwenye yale mambo yetu ya msingi tuyafanyayo. Zipo sababu mbalimbali ambazo hupekelewa watu wengi kuwa ni watu wavivu, miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na kufanya vitu tusivyopenda na sababu nyinginezo. Sasa...
  2. son_african_star

    Jambo la kujifunza kutoka kwa Marcus Aurelius

    Marcus Aurelius anasema kuwa kwenye maisha ya mafanikio hata siku moja usipuuze vitu vidodogo kwa sababu kama utakuwa mpuuziaji wa vitu hivyo vidogo basi sahau kabisa kuhusu kutimiza malengo yako. Hii ikiwa na maana ya kuwa Marcus Aurelius anatukumbusha kuwa kila wakati tunapaswa kuthamini kila...
  3. son_african_star

    Jambo la kujifunza za kutoka kwa Keneth Branagh

    Keneth Branagh aliwahi kuwa hapa dunia hakuna kazi ya kufikiri, ukiweza kusema ngumu hii kwa ufasaha ni kwamba huenda maisha yako yakawa si magumu sana tofauti na vile unavyofikiria. Ili uweze kutumia kazi hii ya kufikiri kwa ufasaha unatakiwa usaidie unatuliza kichwa chako ili uweze kutumia...
  4. son_african_star

    Njia rahisi ya kutengeneza fedha kwenye jamii yako

    Ili uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watakavyokupa pesa zao. Ili jambo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia na matatizo yanayowasonga watu hao...
  5. son_african_star

    SoC03 Changamoto pekee inayoyakumba maisha ya wengi

    Kuleta changamoto zinazoyakumba maisha ya wengine ni kwamba wengi wetu tunakosa ujasiri wa kuthubutu na kufanya mambo mbalimbali yaletayo katika maisha yetu. Changamoto hii imekuwa ni kubwa sana kwa kizazi hiki. Wengi hupata mawazo mazuri ila wengi huishia kwenye hatua ya awali yaani ya...
  6. son_african_star

    Njia sahihi ya kuona fursa

    Fursa zipo kila mahali, ila changamoto huwa inakuwa kwetu ambao tumezungukwa na fursa hizo. Wengine wetu hudhani fursa ni kitu ambacho kipo wazi kama wengine wadhaniavyo, hapana fursa hii. Fursa huwa zina tabia za kujificha, ambapo ili uweze kuona fursa hizo unatakiwa kufanya uchunguzi juu ya...
  7. son_african_star

    SoC03 Acha kufanya vitu kimazoea

    watu wengi katika ulimwengu wa kisasa wamezoea kufanya vitu kimazoea upelekea kupoteza ufanisi wa kazi na hata maendeleo yake kudumaa. hii kutokana na kufanya vitu vile vile kila siku bila kutumia ubunifu wa hali ya juu hili kufanya jambo lako kila kukicha liwe na mvuto zaidi. Unakuta mtu...
  8. son_african_star

    SoC03 Bado hujachelewa anza sasa

    katika ulimwengu wa sasa mtu anapofika umri wa miaka 30 nakuedelea uwa ujiwekea ukomo wa kufanya jambo farani ata liwe na manufaa makubwa. Uwa anakuambia umri ushaenda au kwa sasa siwezi nikaazisha biashaaa hii nikafanikiwa nitakuwa napoteza ela zangu mafao yangu. Wanajisaahu kuwa hamasa ya...
  9. son_african_star

    SoC03 Mmong'onyoko wa maadili katika jamii

    mmong'onyoko wa madili kwa watoto mmong'onyoko wa madili kwa kiasi kikubwauchangiwa na mzazi mlez au mtu wa karibu. wazazi uchangia kualibika kwa watoto unakuta mzazi anajari kazi zake mda wote hata ana mda wakukaa na watoto zake mambo yote anamuachia mfanyakazi wa ndani bila kujuwa niwajibu...
Back
Top Bottom