Recent content by SON OF THE LAND

  1. S

    Naomba msaada

    walio niunganisha ni ma HR ndio wanapewa pesa wajinga waale
  2. S

    Naomba msaada

    Hivi ni lazima kisheria kujiunga na chama cha wafanyakazi kisheria, maana mimi nimeungwa moja kwa moja bila consultation na kwakweli sipendi hivi vyama wala sitaki kukatwa pesa yangu kuchangia hivi vyama naomba msaada kisheria kabla sijaenda kuwavaa ma HR wanitoe
  3. S

    Naomba msaada kidogo

    Hivi ni lazima kisheria kujiunga na chama cha wafanyakazi kisheria, maana mimi nimeungwa moja kwa moja bila consultation na kwakweli sipendi hivi vyama wala sitaki kukatwa pesa yangu kuchangia hivi vyama naomba msaada kisheria kabla sijaenda kuwavaa ma HR wanitoe
  4. S

    Mratibu wa TARURA Manyara inatosha sasa, huo ujinga unaotaka kufanya, utaishia kubaya

    Acha roho mbaya wakati unapiga mahesabu hukujua utapata faida huyo mhasibu sh ngapi utampa elf50 tu atakushumuru watanzania mnaroho mbaya kweli at the same time mnataka huyohuyo mhasibu aache mambo mengine atoe malipo yako harana
  5. S

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nana anaemuombea mauti kama sio wewe zito na lema , hebu tutajie watu wengine laki moja tu kati ya watu milioni 60 wanaomuombea kifo
  6. S

    Nahitaji kufuata bidhaa China naomba kujuzwa mambo haya

    Mkuu ubarikiwe sana umejibu kisomi kila kipengele, nitakucheki kwa mengi zaidi, asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Nahitaji kufuata bidhaa China naomba kujuzwa mambo haya

    Tafadhali wakuu kwa mtu aliewahi au ambae anafanya biashara ya kuingiza biashara toka china naomba anisaidie vitu kadhaa 1: Ni Miji au mji gani ndio vitu au bidhaa tofauti hupatikana kwa mfano; Laptop, simu e.t.c 2: Malazi kwa china kiasi gani kina cost, na kama kuna sehemu za bei nafuu naomba...
  8. S

    Office ya CAG na uhujumu Uchumi

    nikajua nimekosea kitu mzee, kufika mbele usihofu mkuu haitaishia hapa hii ni general tu mambo mengine ya kurekebisha yanaendelea maana kupeleka tu info kimya kimya huwa wanafungia kwenye makabati kule tunaenda na huku tunakuja ili na wengine waone pia nawafika wengi kwa wakati mmoja maana kuna...
  9. S

    Office ya CAG na uhujumu Uchumi

    saidia sehemu ambayo unaona inakosewa usikae kimya tu
  10. S

    Office ya CAG na uhujumu Uchumi

    maendeleo jamii
  11. S

    Office ya CAG na uhujumu Uchumi

    maana yangu hapo office ya CAG wakasimama ukaguzi wa nchi nzima hio pesa tukalipa hao Big4 atleast kwa mwaka moja uone nini watakuja nacho then ndio mnarudisha CAG wakiwa wamepigwa msasa na ninajua hapo kuna maswala ya sheria yatahitajikubadilishwa
  12. S

    Office ya CAG na uhujumu Uchumi

    mimi sina tatizo hio office shida na dhumuni langu ni kwamba mkuu wao aone naTAKUKURU waone ili waanze kuwaonya na kuwakumbusha majukumu yao katika Taifa kwamba wao ndio hope na msaada kwa Raisi waache kuchukua vijihela kama wameona makosa ya upigaji wasaidie serikali pesa zitakazokua zimepigwa...
  13. S

    Office ya CAG na uhujumu Uchumi

    mfano nini hakijaeleweka
  14. S

    Office ya CAG na uhujumu Uchumi

    Hulazimishi hebu soma vizuri unatungikiwa matatizo yako halafu unapewa room ya kufuta kwa hongo ili uonekane uko vizuri sasa issue hapo ni CAG kuwa jicho la taifa ili miradi na matumizi mabovu yajulikane na kushugulikiwa sio kufunika kombe then next year the same thing is gonna happen again and...
  15. S

    Office ya CAG na uhujumu Uchumi

    mimi sio mwana siasa tunachotaka ni kitengo kinachosaidia serikali kudhibiti wizi na kama issue hapa ni ukaguzi na kama unaona tunazuia CAG asikague kwa nini sasa serikali kwa hio budget ya CAG ambayo ni ndogo tusitumie kuwatumia wakaguzi wa nje hawa Big 4 kila deloitte PWC ili ukaguzi uwe wa...
Back
Top Bottom