Office ya CAG na uhujumu Uchumi

Office ya CAG na uhujumu Uchumi

mimi sina tatizo hio office shida na dhumuni langu ni kwamba mkuu wao aone naTAKUKURU waone ili waanze kuwaonya na kuwakumbusha majukumu yao katika Taifa kwamba wao ndio hope na msaada kwa Raisi waache kuchukua vijihela kama wameona makosa ya upigaji wasaidie serikali pesa zitakazokua zimepigwa zirudishwe badala ya kukaa kiti kimoja na wahusika na ku negotiate mtatupa sh ngapi tupute hii hoja halafu wanaandika hoja nyepesi ambazo hazina mashiko basi gemu limeisha
Kama unaweza thibitisha tuhuma hizi dhidi ya ofisi ya CAG basi ni vyema tuhuma zako uzipeleke mbele
 
Kama unaweza thibitisha tuhuma hizi dhidi ya ofisi ya CAG basi ni vyema tuhuma zako uzipeleke mbele

nikajua nimekosea kitu mzee, kufika mbele usihofu mkuu haitaishia hapa hii ni general tu mambo mengine ya kurekebisha yanaendelea maana kupeleka tu info kimya kimya huwa wanafungia kwenye makabati kule tunaenda na huku tunakuja ili na wengine waone pia nawafika wengi kwa wakati mmoja maana kuna office nyingi zinahusuka hapa
 
maana yangu hapo office ya CAG wakasimama ukaguzi wa nchi nzima hio pesa tukalipa hao Big4 atleast kwa mwaka moja uone nini watakuja nacho then ndio mnarudisha CAG wakiwa wamepigwa msasa na ninajua hapo kuna maswala ya sheria yatahitajikubadilishwa
BIG 4 mmoja huwa anashiriki kwenye ukaguzi wa CAG.
Labda scope waliyopewa ndio itawafanya wasiende baadhi ya mashirika/idara
 
Back
Top Bottom