Mkuu,
Cha kwanza nisamehe kama nitakuwa nimepotosha kwakuwa kila binadamu ana ukomo wa fikra, cha pili kama ni uongo kuwa sayansi haijaundwa kuuliza maswali kama nilivyosema toa ushahidi basi wa maswali yaliyojibiwa na sayansi. Na ukitegemea yapo maswali rahisi sana ambayo majibu yake ni magumu...
Upungufu wa sayansi upo kwenye swala haswa kuwa imeundwa kuuliza maswali na si kutoa majibu ya maswali husika.
Mifano mingi ipo ya jinsi ambavyo sayansi inashindwa kujibu maswali yake yenyewe, kama kwanini proton na electron kamwe haziachi kuzunguka nucleus au kwanini sayari hazitoki kamwe...
Mkuu,
Kuku huzaa kuku, bata huzaa bata na hata binadamu huzaa binadamu. Watoto si malaika bali kwakuwa sisi wazazi wao ni wadhambi basi nao dhambi i ndani yao kama vile ilivyo ndani yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.