Recent content by son of a teacher

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti:Jeshi la USAA lapata hasara ndege vita 81 yameharibiwa vby

    Takriban ndege za kijeshi 81 za Marekani yameharibiwa kwenye operation epic fury .Inakadiriwa tangu august 1 madhara na hasara jeshi la usa waliyopata kwa kuharibiwa kwa ndege zake za kivita kufikia dolla billion 3.3., f 35A,f15, E 3 sentry ni miongoni mwa ndege vita za kisasa zilizoharibiwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Huruma sio malezi madereva wazingatie sheriaza barabarani ,mlikuwa mnaongoza kuchinja watu

    Nimewasikiliza madereva wakitoa malalamiko yao lakini baadhi ya malalamiko yao hayana maana. 1.Nimesikia wanalalamika kuhusu ku-overtake sababu barabara zetu sio nzuri..kama barabara unatambua sio rafiki sasa overtake ya nini kama sio kuhatarisha usalama wa abiria kiukweli madereva wa mabasi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kiufupi Samia alimuhitaji Nchimbi kuliko Nchimbi kumuhitaji Samia ila ujanja mwingi mbele Giza

    Huyo nchimbi alikuwa yuko Brazil kapotezwa jina kwa miaka 6 lilikufa..nani alimuhitaji mwenzie??jina lake limeanza kurudi baada ya kuvutwa na rais Baada ya miezi 5 atakuwa ashasahaulika na watu tuaendelea na masuala ya simba yanga na maisha mengine
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Trump, Ilhan Omar ashinda kwa kishindo uchaguzi wa awali

    Seneta wa Marekani, Ilhan Omar, ameshinda uchaguzi wa awali wa chama cha Democratic katika wilaya ya 5 ya Minnesota, baada ya kupata zaidi ya asilimia 80 ya kura. Ilhan Omar alishiriki uchaguzi huo bila kuungwa mkono na AIPAC, kundi lenye ushawishi katika siasa za Marekani linalounga mkono...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Trump atoroshwa kwa roli uturuki

    Shida reliable sources vyombo vya habari vya nchini marekani vidanganye kwa maslahi ya nani
  6. S

    JamiiForums Tanzania US General: Hatuna silaha kuilinda Israel bora tujilinde wenyewe

    Unateseka ukiwa wapi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yamaliza 65% ya makombora kwenye vita ya Iran

    Hamna mbinu cnn washingtonpost hawa wote ni wapinzani wa republican wanachosema basi juwa wanamaanisha mfano Washington walitoa siri kibao kipindi hiki cha vita mpaka walitaka kushtakiwa na Serikali ya Trump Usa hakuna tbc kule vyombo vya kule vyenye mrengo tofauti huwa wanafukunyua mambo Ndio...
  8. S

    JamiiForums Tanzania US General: Hatuna silaha kuilinda Israel bora tujilinde wenyewe

    Generali wa marekani Alexus Grynkewich amesema kwasasa hana silaha za kuilinda Israel hivyo ni bora silaha zilizopo ziisadie kwenye ardhi ya marekani badala ya kuilinda Israel.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yafikwa na upungufu mkubwa wa silaha

    Media za USA ndio zinasema hivyo sisi tuko huku vijijini hatuelewi kitu .
  10. S

    JamiiForums Tanzania Iran muda mwingine ukimfikiria kama kichekesho. USA ndio anakupiga wazi wazi we unaenda kuwatisha majirani zako

    Wanapigwa majirani lakini wanaokufa na kujeruhiwa wanajeshi wa usa wewe huogopi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki 2 wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa huku idadi kamili ikifichwa

    Ndani ya wiki mbili pentagon wamesema wanajeshi 100 wamejeruhiwa na watatu kuuliwa. Lakini ripoti zinasema pentagon wamekuwa wazito na slow kwenye kutoa takwimu halisi huku idadi kamili wakificha kwa hofu za kiusalama. Iran ilishambulia kambi za marekani zilizopo kwenye nchi za ghuba ya uajemi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Meli ya kubeba mafuta yenye bendera ya Tanzania, MT ASANA, imetekwa nyara

    Dolla million 5 wamba wanataka ..risk or die
  13. S

    JamiiForums Tanzania Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

    Wanajeshi wa usa tayari washaliwa vichwa japo wametangaza wawili sijui 3 na kadhaa wamejeruhiwa hapo number wamepunguza..target unayo ww unayejuwa kucomment
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kikwazo kikubwa kwa CR7 kwa sasa wachezaji wenzake hawampi kipaumbele kwa pass

    Unaongea pumba huyu xr7 footwork yake mbovu kwanza kwasasa mipira anapoteza hovyo hana impact zaidi ya kufunga tu..unaweza usimuone kwenyenmchezo mda mrefu ..anyimwe ili iweje Kubali mchezaji wako hana footwork nzuri saizi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

    Ukiona hivyo wape kongole morocco
Back
Top Bottom