Recent content by somsom

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika Vijana Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima

    Sisi ni wakala wa Bima tupo Dar es Salaaam, Kinondoni, tunahitaji vijana wa kike/kiume, wenye elimu ya bima ngazi ya cheti/Diploma Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima, ni kazi ya mauzo/masoko kama una sifa tajwa tafadhali ni pm Kwa maelekezo zaidi@vigezo na na mashariti kuzingatiwa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Vijana kuuza bidhaa za BIMA

    Vijana wa kike na kiume wanahitajika kuuza bidhaa za bima, kazi ni Dar es Salaam, wawe na ujuzi wa bima kuanzia ngazi ya cheti, ni kazi ya masoko, hivyo kama una sifa tajwa tafadhali ni PM kwa maelekezo ya kazi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi katika PUB wanahitajika

    Tunahitaji wafanyakazi wa kike/Kiume kuhudumu katika pub iliyopo Kinondoni, barabara ya Mwananyamala Dar es Salaam; awe na elimu ya kidato cha 4 au Cheti; uzoefu wa Kazi; umri miaka 18 hadi 30. Kama una sifa tajwa tafadhali ni PM Kwa maelekezo zaidi. Vigezo na mashariti kuzingatiwa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kama Kuna mtu Ana kioo Cha TV Samsung kawaida "55" tufanye biashara.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

    Jabari Kaka Kama hujapata tuongee
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naitwa Sarah, natafuta kazi ya kuuza duka

    Umepata Kazi?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya kuuza duka au mgahawa

    Nitafute
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote

    Kama bado kazi, nitafute
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi yoyote ya halali

    Ni pm tuongee kuhusu kazi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi au Kibarua chochote Jijini Dar

    Ni pm, nikupe kazi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya upishi Dar au Dodoma

    Kama hujapata kazi nipm
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira front office

    Kama bado hujapata kazi ni pm
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi stationary

    Mwambie anipm nitampa maelekezo ya kazi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina uzoefu wa kazi mbalimbali

    Kama bado hujapata pls pm me
Back
Top Bottom