Natafuta ajira front office

Habari naitwa Doris Gabriel naujuzi Wa front office natafuta Kazi za front office nime deal Na customer care, telephone operating system, receptionist.

Nimefanya field Serena hotel, Dodoma hotel nikafanya training Strategis insuarance.

Kama watanzania wenzangu, mnisaidie nipate Ajira nami nijikimu pia sio lazima nifanye nilichosomea ikitokea Ajira nyingine nipo tayari kufanya
Ulifanikiwa?
 
Iko hivi hotel za posta masaki sijui kunduchi usiangalie ustar wa hotel sijui nyota tano sijui nyota ngapi azia kitafuta kariakoo toka anangalia na sehemu zingne usitafute kaz ya hotel kwa ustar wa hotel au nyota unafanya kaz kwa uhuru akuna gadhabu tofauti na mahotel makubwa nishidaah sana yaani asikuambie mtu azia kariakoo yapo mahotel kibao kisha angalia na sehemu zingne ila kupigia mahesabu mahotel ya posta sijui masak kunduchi uko utasota my dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrs S. Maneno yako yamenifumbua macho hakika nikweli ngoja nianze manzese,Ubungo,Kariakoo Mungu ajalie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom