Natafuta kazi au kibarua chochote

Natafuta kazi au kibarua chochote

hashym

Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
5
Reaction score
0
Habari ndugu zangu natumaini wote wazima!

Nina imani humu kuna wafanya kazi mbalimbali, viwandani, Makampuni nakadhalika. Naombeni msaada natafuta kazi ya aina yeyote hata kiwandani ni vizuri.

Nina umri wa miaka 23, Elimu yangu ni kidato cha 4 naishi Dar es salaam.

No. 0713012931.

Asante
 
Kusaga mahindi mshahara 50000 kama uko interested njoo kwa namba 0655048302
 
asante sanaa.. sema upo mbali sana kiongozi ila asante kwa nia ya dhati
 
Habari ndugu zangu natumaini wote wazima!

Nina imani humu kuna wafanya kazi mbalimbali, viwandani, Makampuni nakadhalika. Naombeni msaada natafuta kazi ya aina yeyote hata kiwandani ni vizuri.

Nina umri wa miaka 23, Elimu yangu ni kidato cha 4 naishi Dar es salaam.

No. 0713012931.

Asante
Je unajua kuendesha pikipiki? Kama ndiyo tuma ujumbe kwenda namba 0676000030 kisha tutawasiliana na wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom