Recent content by somokuboy

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Eti huyu ndio aliyeweka historia Udsm kwa kupiga GPA kali katika kitivo cha sheria
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu mhusika (starling anaitwa james akeke

    Mchoraji alikuwa John Kaduma ambaye ni marehemu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wafanyakazi wengi wa halmashauri hawana uweledi?

    Mazingira yanawameza wanatoka na energy ya kutosha chuoni wakiingia huko wanakutan na urasimu usio na kifani hivyo wanakata tamaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nina miaka mitano sijala UGALI

    Zaidi ya hayo ugali ni mboga,imagine ugali samaki au ugali kiimot kitimoto
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Precious blood ni nzuri,St Monica ni nzuri but na wasiwasi ada zipo juu,jaribu Carmel ya masister ipo Olasit,Padre Pio ya Masister pia ipo njiro
  6. S

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kutoka kwa Mzazi wa Mtoto wa Darasa la Nne - Shule ya Victoria, Makumbusho

    Kwani ukimwambia mtoto akae nyumbani kipindi hiki cha likizo kunatatizo?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama ndivyo, kuna shida. Kubwa!

    Nia ya serikali ilikuwa kweli kulifungia kanisa ila walivyoona response mbalimbali za watu wakagundua hii tumeingia cha kike,hivyo kama kawaida yao serikali hii,wanaikana
  8. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Foleni ya Tunduma mpakani haitatuliwi, kuna Watu wana maslahi Binafsi, inatutesa wengi

    Hivi reli ya TAZARA hii sindio ingekuwa fursa kwao?
  9. S

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform no election
  10. S

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform no election No reform no election
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kenya ilipopinduliwa mwaka 1982, Nyerere aliokoa Taifa lililomchukia

    Ngoja nikujibu Ochuka alipewa hifadhi ya kisiasa Tanzania ila mwaka 1983,wanajeshi wetu walipotaka kupindua Serikali yetu na baadhi yao kukimbilia Kenya basi ikabidi yafanyike mazungumzo ya kubadilishana wafungwa ndio ikabidi Moi awakabidhi wakina Luten Eugen Maganga na wenzake na Nyerere...
Back
Top Bottom