I second you #mamafive..DNA haitusaidii chochote kwa kweli awe mwanae au laah! Wat matter is kumsapoti mond bin laden bhaas ayo mengine ayatuusu kiukweli
hata kama ni kweli lakini HAYAKUHUSU...mind ur own bizz and if u cant appreciate atleast dont judge...I dedicate the song #DontBother ikuliwaze huko ulipo...m#$@^&@*@,@*f
Mpaka kufika kukaa baba wa muolewaji na muowaji pamoja ujue hapo yashapita makubaliano kati ya muolewaji na muowaji..na pia baada ya huyo muowaji kuulizwa maswali hayo ya 'umekubali kumuowa binti fulani wa fulani' baadae hugeukiwa binti muolewaji na kuulizwa da same question..kwaiyo bond ipo vzr tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.