Uko sawa mkuu, hiki nacho ni chuo jipu sana. Kwakweli Tanzania ilikuwa imeshafanywa kichwa cha Mwendawazimu. Ngoja tuone labda kutakuwa na mabadiliko kidogo ya elimu baada ya hii safisha safisha.
Yaani hata ukiangalia hz video mbili ya wamarekani na ya hawa Waarabu utagundua ni wapi kuna uwindaji halali na ni wapi kuna uwindaji haramu unaolazimishwa kuhalalishwa. Mnyama ana haki zake kama ilivyo kwa binadamu, shida ni kuwa Watanzania hasa wasimamizi wa sheria za Wanyamapori wamejaa...
zamani watu walikuwa hawapelekani kwenye vyombo vya sheria kama sasa hv. Mambo yalikuwa yanaishia uwanja wa mapambano. Kwasasa utamtajirisha mtu bure. Halafu ustaarabu umeongezeka kwa watu wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.