Watanzania wanamfahamu Lowassa kuwa sio mtu wa maneno mengi ila mtu wa vitendo vingi. Monduli pamoja na jiografia yake ina kila kitu alichoahidi ikiwa ni shule zenye walimu, barabara nzuri, maji na hospitali nzuri sasa zote zipo. Sasa tunamtaka afanye hivi kwa nchi coz ameshaonyesha anaweza.
Siasa ni mchezo unaochezwa kitimu na kawme si kama mtihani ambayo kila mtu hufanya kivyake kuwa na kundi ndio njia moja kufanya siasa. CCM ni kundi tayari. Lowasa ana kundi kubwa la ccm. Je hii ni dhambi? Mahakama kila siku zinawashughulikia wezi, mbona lowassa hashitakiwi? Mafanikio ya mtu...
kila mtanzania anayo haki ya kuutamani uongozi wa nchi kuanzia chini mpaka juu kabisa, na kila chama kina utaratibu wa namna ya kumpata mtu atakayepeperusha bendera yake. Sioni hatia hata kidogo kwa EL kutamani nafasi hiyo ya juu kabisa nchini. Sioni sababu ya EL pekee kuwa the subject of...
Lowassa haongi ila husaidia wahitaji. Mbona Regnald husaidia mara nyingi tu? Naomba tuache kumhusisha Nyerere na siasa hizi coz zama zake zimepita tayari. Lowassa ana moyo wa kutoa na wala si kana kwamba no tajiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.