Recent content by Solomon Kambarangwe

  1. S

    Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali

    Sijui ccm kama itakuwa na fahamu za kufanyia kazi mapendekezo ya CHADEMA. Aliyesema hapangiwi sijui kama atakuwa amebadirika. Tuombe Mungu.
  2. S

    Wapinzani wanachokifanya Kinairudisha Nyuma Tanzania: Acheni siasa za wakina Malcom X

    Hii ni Hii ni fikra ya kipuuzi kabisa kama sio upumbavu. Hiki chama cha kikoloni kilichosheheni mafisadi ndicho unakipamba hivi? Hakika uko vibaya sana kichwani.
  3. S

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

    Unaweza kuthibitisha au unapiga porojo tu? Mamlaka za Serikali nimeelezwa na chama kupitia Tundu Lissu, Wabunge wa CHADEMA bungeni, Katibu Mkuu, wanachama wamepiga kelele sana ila Serikali imekataa kuchukua hatua. Sasa unaleta porojo za ukada wa CCM ili kufurahisha nafsi yako iliyojikita...
  4. S

    Rais Magufuli anangoja nini kumtumbua RC Makonda?

    Hapa ni muhimu Rais amwelekeze mtuhumiwa ajitokeze kueleza ukweli kuhusu hizi tuhuma. Maana naona zinaanza kumkabili Rais mwenyewe. Haitakuwa busara Rais akae kimya. Amtumbue iwapo jamaa ataendelea kuwa kimya kuhusu tuhuma za vyeti feki dhidi yake.
  5. S

    UVCCM waanza kampeini ya kumsifu Makonda kukiuka sheria

    UVCCM ni wapuuzi sana. Wanatetea hizi porojo ambazo zinagonga mwamba mapema.
  6. S

    CHADEMA Kumsaidia Lowassa Kufanikisha Harambee ya Kuchangia Chakula Wenye Kukabiliwa na Njaa Tanzani

    Njaa haina jasiri. Lowasa Mungu amuwezeshe kufanikisha utume wake. Chadema tunajitoa kuokoa roho za Watanzania. CCM wako busy kuzuia ukweli kuhusu njaa na ukame
  7. S

    Sakata la mwandishi wa ITV na DC lachukua sura mpya, RC aingilia kati

    Hiki chma cha majipu ni janga. Wamezoea kubambikiza watu kesi. Insikitisha sana.
  8. S

    Mchawi mwite mchawi, kumwita mtukufu ni dhambi

    Hatunywi sumu, hatujinyongi.........ccm mbele kwa mbele. Walimu wa masomo ya sanaa wajiajili, wao sio kipaumbele, sasa kipaumbele ni kuweka bajeti ya kusaka alipo faru.......ukihoji maruhani wanakusandarusi unasahaulika. Kila anayepata ajira kwa jitihada binafsi lazima akatwe 15% ya mkopo...
  9. S

    Congo na Tanzania tunatofautiana style ya matumizi ta kuongozi wa imra ya walio madarakani

    Kwa mujibu wa Katiba ya DRC(Zaiire) leo ndio siku ya mwisho ya uongozi wa fascist Joseph Kabila. Kutokana na majukumu sijafahamu kinachoendelea Kinshasa kama jamaa kang'atuka au la. Madikteta waliobaki ni pamoja na Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Pierre Nkurunziza wa Burundi, Omar Al...
  10. S

    Yaliyojiri Mahakama ya Kisutu: Kesi ya ndugu Maxence Melo - Hatimaye apata dhamana

    Mungu ni mwema. Haki itendeke tuendelee kukutumbua majipu.
  11. S

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    MAKOSA YALIYOTOKANA NA KUKURUPUKA HAYATAKIWI KUTATULIWA KWA KUKURUPUKA . SIO SAHIHI KABISA KUJIITA MZALENDO KWA KUTETEA MAKOSA YA SERIKALI YALIYOFANYWA KWA UKOSEFU WA WELEDI.......HUO NI UKENGEUFU . Sukari ni jipu la Mkuu wa Kaya Tanueni akili sio kutanua midomo kujipendekeza serikali...
  12. S

    Unafiki wa CCM Kuhurumia Wana Dar es Salaam Baada ya UKAWA Kuongoza Jiji

    Maigizo yanapotosha wengi, CCM ni janga.
  13. S

    Unafiki wa CCM Kuhurumia Wana Dar es Salaam Baada ya UKAWA Kuongoza Jiji

    Tatizo wasomi wengi Africa wameweka masirahi mbele. Otherwise inatakiwa wasomi waendeshe movement na kukataa serikali dhalimu kwa vitendo. unaweza kuona unafiki wa akina Kitika Mkumbo, Shivj, Zitto Kabwe, Waandishi wengi wa habari wameshikiwa akili na CCM, wahadhiri wengi wako remoted na ccm, na...
  14. S

    Unafiki wa CCM Kuhurumia Wana Dar es Salaam Baada ya UKAWA Kuongoza Jiji

    Wanaotakiwa kujirekebisha ni CCM na wao akili wameweka matumboni. Mathalani, Polepole ataunga mkono kuondolewa kwa wakuu wa Wilaya na Katiba Mpya inayorudisha nguvu kwa umma? Ni dhahili hawezi, kwa hiyo CCM na watu wake ndio adui halisi wa nchi yetu.
Back
Top Bottom