Recent content by soloman

  1. S

    MAFUNZO:Magonjwa makuu,dalili,tiba na chanjo kwa kuku

    Mafunzo haya ni ya wiki moja ambayo yanaendeshwa na kusimamiwa na Tanzania Youth Entrepreneurship and Empowerment Organization yenye usajili namba 00NGO/00006706. Lengo la mafunzo haya ni kuwasaidia wajasiriamali wapya na wazamani,wadogo na wakubwa ambao wamewekeza katika ufugaji wa ndege...
  2. S

    Kampuni,Organization au mtu binafsi kama unamilioni 5 hadi 15 Wekeza katika biashara hii huta juta.

    Nacho kiongea nina experience nacho kwa muda mrefu nimekuwa niki kifanya kwa kushilikiana na team,na nimeona mafanikio yake sasa kwa kuwa wateja wanazidi kuongezeka naomba ajitokeze mwekezaji katika biashara zifuatazo ambazo hawezi juta kuweka pesa yake. Lengo kuu hapa ni kufungua organization...
  3. S

    Kuhusu kuweka Poll Box katika website, je ni kosa?

    Ningependa kujua Kama katika website yangu nikiweka poll box kwa ajili ya wasomaji kupiga kura za urais WA wagombea Kama njia ya kuonesha hisia zao kwamba yupi wangemchagua Kati ya hao. Nitakua navunja sheria yoyote ya kimtandao,au ya nchi,au ya uchaguzi? Msaada wataalamu WA sheria.
  4. S

    Wamiliki wa Bar, Pub, Lounge tukutane hapa

    Biashara za aina hii zina changamoto zake;mara nyingi wakati wa kufunguliwa kwa biashara za namna hii wateja hua wanamimi nika kama mvua lakini baada ya muda wateja huanza kupotea mmoja baada ya mwingine. Kikubwa hapa ni kwamba wateja wengi hupenda kubadilisha mazingira,wateja wa sehemu kama...
  5. S

    OFA DAR KINONDONI: Ukinunua bia mbili utapewa bonus ya bia nne pamoja na kuku wa kuchoma

    Bar yako ya dagaa dagaa lounge ya Sinza legho inakuandalia ofa tamu ambapo mteja akinunua bia mbili za castle light atapewa bonus ya bia nne za castle pamoja na kuku choma. bonus hii itakua ni tarehe 12/9/2015. Hujachelewa jisajili sasa bonyeza HAPA
Back
Top Bottom