Kampuni,Organization au mtu binafsi kama unamilioni 5 hadi 15 Wekeza katika biashara hii huta juta.

soloman

Member
Aug 12, 2015
11
0
Nacho kiongea nina experience nacho kwa muda mrefu nimekuwa niki kifanya kwa kushilikiana na team,na nimeona mafanikio yake sasa kwa kuwa wateja wanazidi kuongezeka naomba ajitokeze mwekezaji katika biashara zifuatazo ambazo hawezi juta kuweka pesa yake.

Lengo kuu hapa ni kufungua organization au kampuni ambayo itakua ijajihusisha na zile shughuri zote ambazo tayari nina project zake ambazo ziko sokoni.

Kampuni au oranization hii itatakiwa iwe na jina la linalo husisha ujasiliamali hasa katika ufugaji,ict,electrical na electronics.

Uwekezaji huo utakuwa katka mambo makuu yafuatayo.

1.Elimu,Ubunifu na uvumbuzi katika ufugaji wa kuku

(i) Utengenezaji na Uundaji wa mashine za kutotolea vifaranga (incubators)

Mashine hizi zitaundwa na kuwekwa katika soko

(ii)Kutoa mafunzo ya ufundi na uundaji wa mashine hizi kwa jamii ambapo kutakua na mafunzo endelevu ya kufundisha jamii uundaji wa mashine hizi.Ambapo wanao jifunza watakua wakichangia kiasi flani cha fedha kwa ajili ya mafunzo.

(iii) Kuendesha mafunzo na semina za ujasiliamali na ufugaji bora wa kuku wa wa aina zote kwa vipindi tofauti tofauti.

(iii)Kuanzisha mradi wa ufugaji kuku wa aina zote hii ikihusisha kuanzia utotoleshaji hadi hadi hatua ya kuwapeleka katika soko

(iv) Ubunifu na uundaji wa vifaa vya incubator kama vile Digital Humidity measure,Digital Temperature control pamoja na Eggs turner.Ambavyo vifaa hivi vitakua vikiuzwa kwa jamii nyingine ambayo inatengeneza mashine hizi.

2.ICT and Networking

Katika kitengo hichi kitajihusisha na mambo makuu yafuatayo
(i) Computer system and networking
-Ufungaji wa security camera and Alarm
-Ufungaji wa digital rocks
-Tracking system (Motorvehecle tracking,Electronics eauipment tracking like mobile phone,laptops etc.
-Digital Parental security(Controlling and guiding the uses of mobile phone to the person under 18years)

(ii)IT and Graphics Designing
-Cyber sercurity system
-Website designing
-Website hosting
-Graphics designing
-Online marketing

3. Electrical and Electronics

-Designing of digital and Analogy equipments
-Solar power Designing and construction
-Electrical services and Consultation


Kwa ajili ya majadiliano na kupata mchanganuo wa mradi huu wasiliana nami simu namba 0684172901
 
Back
Top Bottom