Recent content by solenza

  1. solenza

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    habari Wakuu, natafuta nyimbo hizi za kibongo za kitambo kidogo: 1. Block 41 Legendary wa Kalapina + Members wengine wa Kikosi cha Mizinga (beat yake inasikika background kwenye ile clip ya video ya show ambayo Kalapina alimshusha jukwaani Chidi Benz: "ASIYEHUSIKA NA SHOW ASHUKE" show. 2. Wimbo...
  2. solenza

    Nyumba ile kiboko, niliambulia maji tu kwa siku 2 nilizokaa pale

    Huwezi jua mwanao aliwasilisha vp ombi lako la kuhitaji malazi kwa family (ndugu anaoishi nao): 1. Pengine aliwaeleza wazi kuwa unatafuta lodge ya gharama ndogo, hivyo wakaona wakupe malazi ya bure kabisa ili gharama uliyokuwa ulipie chumba ikusaidie kwenye chakula, nauli za hapa na pale...
  3. solenza

    Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Haki za binadamu ni kwa ajili ya binadamu pekee. Ukishakengeuka unajivua ubinadamu; hivyo utashughulikiwa kwa namna stahiki kuendana na identity mpya uliyojivika. Ni wakati muafaka kuwaasa vijana kuzingatia maskani, vijiwe, na wenzao wanaoshirikiana nao kijamii. Nyakati kama hizi ni rahisi...
  4. solenza

    Kuzikwa kwa ibada za dini tulizonazo au kuzikwa kipagani kuna manufaa gani kwa marehemu?

    Ibada za mazishi na masomo husika ni kwa ajili ya waombolezaji walio hai. Marehemu anakuwa keshafunga vitabu vyake. Hakuna kinachoweza kusomwa kubadili namna alivyoishi au hatma ya aendako. Kuna waumini wazuri lakini waliondoka kwa aina ya vifo visivyowezesha kuzikwa kwa heshima stahiki; mfano...
  5. solenza

    Gavana BOT aagiza benki zipunguze masharti ya mikopo na riba

    Zikizuiwa kutoa gawio itaathiri wawekezaji wao kwa kuonekana performance yao kibiashara ni dhaifu. Wawekezaji (wanahisa) watapukutika, na thamani ya hisa zao kuanguka.
  6. solenza

    Inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kuishi Pugu Dampo na harufu mbaya kiasi kile?

    Harufu mbaya kuna namna fulani mwili 'unaizoea' baada ya kuishi nayo kwa kipindi flani. Nakumbuka nikiwa naanza fom dala shule moja, palikuwa na vyoo maarufu kama milango tisa, vya shimo tu, na havina milango kabisa japo vilikuwa vinatumika, hususan mida ya usiku. Harufu ni kali; nikawa...
  7. solenza

    Sekretariat ya ajira (PSRS)

    Titles kwa levels mbalimbali za qualifications
  8. solenza

    Sekretariat ya ajira (PSRS)

    acha niulizie ulizie, ntaleta mrejesho
  9. solenza

    Sekretariat ya ajira (PSRS)

    . . 🤔🤔 kwahiyo NBAA-wise aliyemaliza successfully intermediate level ni sawa tu na bachelor holder wa accountancy?
  10. solenza

    Sekretariat ya ajira (PSRS)

    Mkuu, unge bainisha qualifications zako na post husika iliyosumbua kupokea Application yako, nadhani ingekuwa rahisi zaidi kutambua hitilafu inajitokeza kutoka wapi. Mfano, kuna nafasi 37 za NAOT zimetangazwa hapa juzi, lakini maelezo yaliyopo ni kuwa na shahada au astashahada ya uhasibu, PAMOJA...
  11. solenza

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    ukisoma shule hadi levo za juu, na usiwe na kazi rasmi, wala mchongo wa kukuingizia kipato; ni rahisi sana kudhani kwamba umepoteza tu muda masomoni. Hasa ukijiangalia kulingana na walioishia hatua za mwanzoni na kujikita katika shughuli za utafutaji. Lakini ukiangalia kwa makini utagundua kuwa...
  12. solenza

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Akili Sina, simulia baada ya kufa nini kikaendelea huko ulikokwenda. Umeonana na malaika? Waliofariki miaka ya zamani mnaonana, au kila mmoja ana cell yake independent?
  13. solenza

    Mwanza imeharibika kwa ukahaba

    Fedha inavyozidi kushika hatamu katika mahusiano ya kimapenzi; umefika Wakati litafutwe neno lenye staha, na lisilo la kuwadhalilisha hawa 'commercial sex-workers'. Ni vile tu wao wapo wazi zaidi, na Wana guts za ku exchange tendo directly kwa pesa. Ila ni wengi mno wanaofanya same business...
Back
Top Bottom