Recent content by solemba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Makonda hajashinda kesi, bali Mahakama ya Kinondoni haina uwezo kusikiliza kesi hiyo

    Hakuna tofauti mmoja jambazi mwengine gaidi,gaidi kaachiwa jambazi leo pia tarehe 10 anaweza achiwa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makonda hajashinda kesi, bali Mahakama ya Kinondoni haina uwezo kusikiliza kesi hiyo

    Kwa nchi hii kufungwa watafungwa watu wa chini sio wanasiasa,leo mahakama itasema imemkuta mwanasiasa na kesi yakujibu kesho itasema aina sababu yakuendelea na kesi,Rejea kesi ya mboe na kesi ya sabaya ,sabaya kesi yakwanza ameshinda usishangae na kesi hii ikafutwa pia iyo ndio tz
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sembe imepanda pamoja na mshahara

    Uyu anaharisha Nini[emoji849]
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

    Baada ya kidagaa kumshusha nakumrudishia nauli ghafla mavi yakamshika andio akakutana na kaka yake Anabudu mizimu [emoji16]itaendelea...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ibrahimu na mwanae Isaka yalikuaje baada ya lile jaribio la kumchinja kuahirishwa?

    Kwenye mafundisho yakislam yanasema Ibrahim alimwambia is-haka juu ya mungu kumtoa sadaka,Isaka akasema Kama ni amri toka kwa mungu nipo tayari kwa hiyo Isaka alipewa tarifa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Kweli kabisa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

    Magufuri aliangalia usawa wa wafanya biashara kuanzia chini ,kati mpaka juu bila kuathiri raia wake Wala serikali yake .leo hii wafanyabiasha wanapandisha Bei vitu kwa kisingizio Cha Vita na hakuna anaejali maisha yamekua magumu ,bado raia anapigwa na tozo ajaka sawa mfumuko wa Bei.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

    Tupe ukweli ambao wewe unafaham kwa miaka mitano ya magufuri na mwaka mmoja wa samia
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

    Tofauti ya Samia na magufuri ni,Samia anaumiza wengi ananufaisha wachache,magufuri kiuchumi wengi wa chini walinufaika wachache waliumi hasa majizi,alijitaidi kudhibiti mifuko ya Bei hata kipindi Cha covid 19
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

    Apo nimeelewa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Hii tabia yawatu kuanzisha stori alafu awazimalizi imekua kero humu,mnafanya atawenye stori za Mana tuwapuzee,
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

    Fafanua mkuu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Kidagaa alimjua kitambo jamaa Kama anambo yakike ndio Mana akampiga chini akamrudishia nauli
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yu wapi mzee wetu JK?

    Juzi alikua kwenye ubalozi wa U.A.E ,alikwenda kusain kitabu Cha maombolezo
Back
Top Bottom