Kwahilo mhe:presd atuludishe kazini kwani ili haki itendeke kwa wote kwanini amtete bashite pekee yke kuna watendaji kazi wazuri zaidi ya bashite lakini kawatoa kazini kumbuka laana yte itawapeleka kubaya familia za hawa waloondolewa kazini mimi naona ziende kuishi magogoni
Kwema wana jf nauliza walio jenga reli na kusambaza hudu
ma ya umeme enzi hizo walikua na vyeti? 1976/2016 naisitoshe hata umeme wanao utumia viongozi haohao umesambazwa na wasio kua na hivyo vyeti isipo kua uzoefu walio nao lakini mbona hawajawahi kusema yakua umeme huu umeletwa na wasio kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.