Recent content by Solange2007

  1. S

    JamiiForums Tanzania I am looking for a job

    Uwiii mbavu zangu nimechakaje !!!! Au kijana umepost hii kuchekesha umati!!!! Ila kama uko serious kweli kazi unayo. Na unayofundisha ni masomo ni biology na chemistry. Watoto watokomaje chemicla formulas not reacheable.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

    Tatizo lao hao the comedy sio wabunifu kabisa. Sasa nini maana ya neno comedy? Yani badala ya kuchekesha wao wanasubiri matukio yayotokea nchini kuanzia mijadala bungeni hadi maisha ya wasanii ndio wanayaigiza eti ndio wachekeshaji hao. Shame on u. Wajaribu kuwa wabunifu. Hao madokta wenyewe...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Human Rights' Press release on Dr Ulimboka

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu. Kwa upande mmoja ni sawa walivyomfanyia coz wao kupitia migomo yao wanasabibisha watu wanakufa kwa kutokupata matibabu!!! Acha naye akipate cha moto. However kibinadamu pia hakutendewa haki.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hallo to all

    Hallo to all members to Jamii Forum. Keep it up as you are doing a great job.
Back
Top Bottom