Ni Mtanzania ina naishi ughaibunina nimeuliza tu sauti inayoita "Aggie njoo" ni ya nani nimehisi kama yako mkuu. Kama ni yako unafaidi sana aisee hahahahaha
Chadema bhana sasa mlitaka slaa ndio alipue bomu la ufisadi bandariini? Kwani na yeye amekuwa polisi au mpelelezi? Akili zenu ni fupi kama mkia wa mbuzi! Tatizo ni mfumo kristo wamejazana bandarini kazi kuiba na kudidimiza uchhumi wa nchi angalia waliokamatwa leo wote ni kina CDU
Na Tumeiumbia Jahanamu majini wengi na watu. Wana nyoyo, lakini hawafahamu kwazo. Na wana macho, lakini hawaoni kwayo. Na wana masikio, lakini hawasikii kwayo. Hao ni kama nyama howa, bali wao ni wapotofu zaidi. Hao ndio walio ghafilika (7: 179).
Kuna hoja za kujibu na kuna hoja za kuzipotezea mkuu, ikiwa madai yangu yameambatana na facts kutoka sources tofauti ambazo mwenye macho na ubongo ni lazima akisoma ataridhika na kile ninachokiona mimi.
Ifike mahali waislamu waseme basi! wasiburutwe kwa maslahi ya masheikh ambao hawana uzalendo...
Waandishi wetu nawao ni wana maslahi kama Ponda Taifa hili limegeuka kuwa la watu wenye kujali maslahi yao binafsi. Lakini kila kitu kipo wazi inabidi wanajamii tutumie muda wetu kuielimisha jamii ili habari zao ikifika muda ziwe haziuziki!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.