Wasio wasomi wanategemea wasomi kujua mengi sana kama sio kila kitu, matokea yake yanakuwa tofauti na mategeo then wanawaita wasomi ni wajinga,
Kwenda shule au kusoma sio kuwa malaika wa kujua kila kitu
sio maarifa yote yanapatikana shuleni.
Mambo na maarifa mengi hupatikana huko...
USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA
Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu
1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3.
2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika.
3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
MAOMBI MAPYA YA KUUNGANISHA UMEME MWANZA MJINI
1. ENEO ni Nyerere road karibu na mataa kwa ajili ya ujenzi
2.Mkoa wa mwanza mjini, wilaya ILEMELA, Mjini kati karibu na msua phamacy
3. Tunahitaji umeme kwa ajili ya ujenzi.
Iwe na Engine 4A, 5A na Automatic Gearbox (manual tutaongea)
Iwe imetunzwa vizuri hasa body liwe limenyooka
Namba yeyote lakini bora zaidi kuanzia B, C, D
Iwe popote tanzania iweze kufika Dar hata kwa gharama yetu
Bei ni makubaliano kulingana na hali ya gari
GARI YA KUBEBA CONTAINER 20FT INAHITAJIKA MUSOMA
Pana container linahitajika kusafirishwa ndani ya 50 km toka musoma mjini
Kwa yeyote wa kupata gari hilo tuwasiliane hapa
POWER TILLER GT SHAKTI 880 hp 13 Diesel
Usithubutu kununua haka ka Power Tiller nimekanunua majuzi tu sh 2,200,000 HP 13 Diesel tayari kamevunja diff, na spare hawana
Naombeni msaada wa kupata hiyo Tube Housing ya Differential
Natafuta bonet, headlamp kulia, Indicator kulia mbele, ABS , Mtungi wa hydralic fluid, mtungi wa maji ya Wiper vyote vya TOYOTA , COROLLA 110 HARAKA NIPO DAR KARIAKOO
Nakubaliana sana na Mmassy JM kuwa wachagga ni umoja wa makabila mengi
sababu ya msingi lugha HAWAELEWANI na baadhi ya mila HUTOFAUTIANA
Kama ilivyo mkoa wa MARA Lugha wanaelewana tena vizuri lakini kabila tofauti mfano
Mwikizu na Mzanaki, Muungurimi, Mwikoma wote...
NATAFUTA LEAD OXIDE PbO (Powder), Zinc Plates
Naomba kwa yeyote anaye jua mahala pa kuipata kg 1 tu tafadhali anifahamishe, ni kwa ajiri ya laboratory tests for education purpose only aidha matangenezo ya lead acid battery
NATAFUTA MLANGO STARLET WA ABIRIA KUSHOTO NYUMA
Kama kichwa cha habari kilivyo ,natafuta mlango wa kushoto wa nyuma haraka sana,
Tafadhali kwa yeyote aliyenao tuwasiliane kwa PM au hata hapa hapa.
NATAFUTA MLANGO STARLET WA ABIRIA KUSHOTO NYUMA
Kama kichwa cha habari kilivyo ,natafuta mlango wa kushoto wa nyuma haraka sana,
Tafadhali kwa yeyote aliyenao tuwasiliane kwa PM au hata hapa hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.