SIASA ZA KITOTO TUMEANGALIA NA KUSIKILIZA HAKUNA MAHALI AMEMTAJA JINA NA MKITI CCM SIO MPINZANI ANAYEZUNGUMZA MAANA HATUNA TAARIFA AMEREJEA CCM
TUNAOMBA HUU UZI UPUUZWE NA JAMII FORUMS ISIKUBALI HUU UCHONGANISHI WA VIONGOZI UZI HAUNA UHALALI WA KUENDELEA KUWEPO KAMA HEADING HAIBADILIKI NA...
Zimeibuka hoja mbali mbali zikiwaaandama nyakati hizi za kuelekea uchaguzi mkuu na ndio safari imeanza muwe na ngozi ngumu na kubwa zaidi endeleeni kuwatumikia wananchi maana waleta hoja wana malemgo yao ya kisiasa wakati Mhe Rais na Waziri na Watanzania wanawatarajia kuendelea kufanya kazi...
Nyumbani kumenoga tunamsubiri tumpe jimbo hatudanganyi tena HECHE wa vibonzo hatumuhitaji tunahitaji MTU wa kutuchukua hatua na sio mwingine ni Mhe Waitara
NI KWELI WATAKAOSUSA WAJUE TUTAWAPUZA WANAOLALAMIKA NI WALE TUME HII ILIWATANGAZA WASHINDI SASA KWA KUWA WAMESHINDWA KUSIMAMIA ILANI ZAO NA KUWATELEKEZA WANANCHI WANASEMA TUME SIO HURU MAANA WANAJUA WAKIGOMBEA WANANCHI TUNA HASIRA NAO
TAAARIFA HII SIO SAHIHI KWA KUWA INGEBEBA HOJA BILA KUHUSISHA SIASA
MWANDISHI AMEJENGA HOJA KWA MASLAHI YAKE YA KISIASA KWANI ANGEJENGA HOJA BILA KUWEKA SIASA INGEKUWA NI JAMBO JEMA LA KUTAZAMA ILA UKIISOMA ANA HASIRA NA MHE MWITA WAITARA NA KATIBU ameanza kuwashambulia kisiasa ndipo anasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.