Ungekuwa jirani ningeweza kukueleza kwanini nimeamua kuandika hapa jukwaani.
But anyway lengo ni kutoa uwanja mpana kwa mwenye uhitaji na wala sina lengo la kutafuta MALAYA hapa jukwaani.
Naelewa jf ina decent people and they are respectful to the community/society.
Thank you for your compliment
Nadhani wewe ndio unaweza kuwa kichaa zaidi. Bila shaka una matatizo ya afya ya akili. From no where huwezi kumuita binadamu mwenzako kichaa tena mtu ambaye hata humfahamu.
UJIHESHIMU, ACHA USHABIKI MAANDAZI
Naomba ujiheshimu. Usijione unajua kila kitu. Kama huna mwanaume wa kukutuliza usilete hasira zako kwa watu wengine.
Natambua wewe ni age go na huna vigezo pita kushoto tafadhali.
Nakufahamu mshangazi tulia nisikuongezee stress
Nimesema kwa mwenye uhitaji. Ningekuwa nimefanikiwa maana yake nisingekuwa hapa.
Sio vizuri kujifanya mjuaji wakati hujui lolote.
Naomba ukae kwa kutulia.
ASANTE
Habari.
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mahusiano ya kudumu "NDOA NA KUJENGA FAMILIA BORA PAMOJA".
Awe na miaka kati ya 22 hadi 33.
NB: Kama yupo mwenye uhitaji wa dhati basi tuwasiliane kwa njia ya pm ili tufahamiane na kuona kama tunaweza kutengeneza mahusiano bora na hatimaye tuweze...
Habari wana JF
Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha.
Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri kati ya miaka 25 - 30 ambaye hajawahi kuolewa na hana mtoto. Kama yupo mwenye uhitaji namkaribisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.