Recent content by software

  1. S

    Wivu wa mapenzi katika ndoa

    Mi nadhani wapo, wewe hujawaona? Hujaona wanandoa wanachukiana?
  2. S

    Wivu wa mapenzi katika ndoa

    Anafanya tukio kwa kulinda heshima yake na si kwa mapenzi
  3. S

    Wivu wa mapenzi katika ndoa

    Mimi nahisi pengine mtu anakua concerned na "heshima" yake pale anapoona mke wake anatoka anakasirika kwa kudhani pengine anavunjiwa heshima.. ni mtazamo wangu tu
  4. S

    Wivu wa mapenzi katika ndoa

    Hivi ni kwanini wanandoa hata kama hawapendani hua mwanaume akisikia mke wake ana uhusiano nje hua anafanya tukio?
  5. S

    Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

    Mh.. mnamegeka aisee na hawa wafungua mageti mi mwenyewe nimeona sana hii!
  6. S

    Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

    ZD ishu ni moja hapa watu wengi tunahitaji kujua, ni general answer to general topic - nimesoma opinions nyingi za wanaume lakini we kama mwanamke unaweza kutuambia kwa niaba ya wanawake wengine kama ni kweli "mfungua milango" wa kwanza hata akija bila funguo utamfungulia tu no matter what. Jibu...
  7. S

    wajamenii wajameni embu angalieni wenyewe!!!

    Miaka ya nyuma nilikua na desktop computer ambayo pia ilikua na tatizo hilohilo. Nilijaribu ku-install USB Drivers na hata kubadili Operating Systems bila mafanikio. Baada ya muda nilinunua USB Ports Extension hivyo nikawa nikitaka kuchomeka flash nachomeka kwenye ile extension ambayo naichomeka...
  8. S

    Msaada unahitajika hapa

    Usiiformat. Chomeka kwenye computer yenye Windows 7 na utapata option ya Scan To Fix The Errors, hii option itaondoa tu lile file ambalo limesababisha tatizo. Tatizo ni kwamba either kuna bad sector au ulichomeka kwenye computer ikawa attacked na some malware.
Back
Top Bottom