japo sijaelewa sana lakini kwa kutegemea na kichwa cha thread yako ni kwamba THERE IS NO LOVE WITHOUT JELOUS ikiwa na maana kwamba popote palipo na upendo wivu ule wa kiasi ni vizuri uwepo,kama una mpenzi/mke/mme ambaye hajishughulishi na wewe hata akuone umekumbatiana na mtu wa jinsia tofauti na wala hastuki au hata kukuuliza chochote unaweza weka mashaka kidogo kama kweli anakupenda na angependa uwe wake peke yake,ila kama upendo haupo kati ya wawili wivu wa nini?hope nimeeleweka kwa kiasi mkuu
software.