Recent content by soft rock

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhali: Wizi wa Mb Halotel

    Ni kweli kabisa, hata mm ilishanikuta hiyo kadhia. Nilinunua kifurushi cha wk cha Tshs 2500 nikapewa mb 2560 lkn kabla ya saa 24 hazijaisha naambiwa sina bando la mb na sikufungua hata YouTube labda wangesema nimetumia zikaisha. Nilipowapigia sim hakuna cha maana walichonijibu. Nowadays natumia...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mange Kimambi

    Duh, siwezi hata kukujibu. Soma tena swali then utoe jibu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mange Kimambi

    C ndio hapo sasa, sina uhakika kama Mange ana elimu ya kutosha "KUNA KUSOMA LKN USIELIMIKE" huenda huyu Mange yuko kwenye hilo kundi. Ni aibu kushupalia kitu ambacho hajafanyia utafiti, huo ni uvivu wa kufikiri. Nitamuelewa iwapo atakuwa na evidence juu ya hilo jambo. TUJIULIZE: 1. Nani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mange Kimambi

    Yeye amejuaje kama makonda hana vyeti
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mange Kimambi

    Kina manufaa gani?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Athari za kufoji cheti/kutumia cheti cha mtu mwingine

    Sioni hoja ya msingi, closed issue. Let us make it a drop.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba : Rais hapaswi kupingwa

    Namkubali sana Deus Kibamba ni mtu makini, ukiwa na tafakuri nyepesi hutomwelewa. Ni kweli kabisa huwezi kumpinga Rais hadharani kwa kivuli na kiki tu za kisiasa bila kuona mazuri yaliyofanywa na serikali.
Back
Top Bottom