Recent content by SOEN

  1. S

    JamiiForums Tanzania Eeh Nimechoka na Mwigulu sasa

    Norway imeonesha nia ya kushirikiana na Tanzania katika kukijengea uwezo Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ili kuiwezesha sekta binafsi kushiriki kikamilifu kujenga Uchumi wa nchi. Hayo yameelezwa jijini Dodoma, na Mhe. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb)...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Mwaka wa Fedha 2016/2017 hadi Desemba 2023, imewalipa wazabuni na wakandarasi wa ndani zaidi ya Tsh 2.1t kati ya madai ya zaidi ya 3.1

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameliambia Bunge, Mjini Dodoma kuwa katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2016/2017 hadi Desemba 2023, imewalipa wazabuni na wakandarasi wa ndani zaidi ya shilingi trilioni 2.1 kati ya madai ya zaidi ya shilingi trilioni 3.1...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea uchaguzi 2025, Mwigulu Nchemba ashiriki hafla ya kugawa mitungi ya gesi

    Endeleeni kuwa wafuasi wa kibwetele fanyeni kazi acheni majungu kula nawewe rushwa tuone
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea uchaguzi 2025, Mwigulu Nchemba ashiriki hafla ya kugawa mitungi ya gesi

    Dalili moja wapo ya kumuogopa mtu kwa nguvu na ushawishi alionao Ndiyo hii !Ambapo nyie CHADEMA hata mgefanyaje hamuwezi kumfikia Mwigulu hata robo kisiasa na hata akili yake ni kubwa mno
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi jimboni kwa Mwigulu wapaza sauti kuomba msaada wa barabara

    Kwa kipindi hiki cha mvua nyingi sehemu nyingi barabara ni changamoto sio Singida tu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Soma orodha ya viongozi waliofanya vizuri 2023. Wa upinzani pia wamo

    Mwigulu Nchemba is the best kwa wote hapo issue ya Uchumi sio mchezo ili wote wang’are ni mpaka Waziri wa Fedha awe vizuri
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Hahaha naona waganga mnashidana kubashiri
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Hapo ndo umejificha au
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Hakuna swali hapo hilo jibu tosha Mr Clean
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Akili Kiazi sana wewe Netanyahu ndo baba yako mzazi ? Si uweke picha ya baba yako maarufu unatumia ya baba wa wenzio au baba yako hana wivu ?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Wewe unaishi kwenye nini na unataka wote wakaishi kwa Mwigulu au
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Nenda mwenye akili ambaye baba yako ni Rais wa Nchi hii au waziri ! Nakuasa acha kutumia maneno makali kuita watu wajinga
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Njoo tuungane
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Nimesoma na kutafakari andiko lako bilashaka unatamani Mwigulu Nchemba arudi tena Iramba na nikutoe shaka na kukurekebisha kwamba Mwigulu yupo Iramba na ndiye Mbunge halali wa Iramba ! Kurudi tena kivipi wakati ndiye Mbunge wa Iramba na wana Iramba wanafuraha kuwa na kiongozi kama yeye hapa pata...
Back
Top Bottom