Recent content by sodoliki

  1. sodoliki

    Kenya’s export earnings hit KSh 480bn on higher demand

    Uchumi wao ni chuma, hakuna longo longo kama tz, mara nchi ya viwanda mara viwanda 3000 vimejengwa, yote changa moto
  2. sodoliki

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Nimetumia wifi yao kwa miaka3 nakaa bunju, uzalendo umenishinda nimerudi smile, bure kabisa
  3. sodoliki

    Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

    Wanahasira hao, wanaishia kutembea n mabwana wa marafiki zao na wadada zao, full kujiachia
  4. sodoliki

    TTCL inafanya nini kushindana sokoni?

    Very very poor service, hawafai
  5. sodoliki

    Uchaguzi 2020 James Mbatia: Chama chetu cha NCCR Mageuzi kinakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani nchini

    Hata ubunge hapati vunjo CCM wamemuweka kimei hachomoi, mzikeni akaendeleze tabia za kishoga
  6. sodoliki

    Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

    Hamna lolote ukabila mnaoendeleza tunaujua
  7. sodoliki

    Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

    Shida wengi wanaocomment positively humu ni watu wa serikali just ignore there statements, mambo yakigeuka wao wana disappear, nchi hii imejitenga na lazima hasara yake tutaiona tuu
  8. sodoliki

    Kuipigia Kura Djibout Badala ya Kenya ni unafiki mkubwa, Kenya tunafanya nae biashara hao wengine vipi?

    By nature watanzania ni wanafiki sana halafu wana wivu wa kijinga hhasa miaka hii ndio imezidi nchi yao imesimama haiendi kwa hiyo kuwaangusha wakenya wao wanafurahi sana
  9. sodoliki

    Kenya secures UN Security Council seat after defeating Djibouti

    Kwa Watanzania mtaambiwa bila juhudi za awamu ya tano mngeshindwa😆😆😆
  10. sodoliki

    Kenya secures UN Security Council seat after defeating Djibouti

    Well done Kenya chuki za majirani msizisahau, wao ni debe tupu🤣
  11. sodoliki

    Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Mtawala nasema mtawala sio kiongozi kapiga pini kipimo sasa taarifa zitatoka wapi, wewe jikinge wewe na familia yako, yeye kasepa
  12. sodoliki

    Dkt. Festo Ngadaya: Sensitivity vs Specificity | Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa

    Uchunguzi wa nini kwanza hizi mshine mnanua nyinyi serikali, huyu dada mdogo mmempa stress ya bure halafu mnamletea matakataka kwa siri garbage in halafu mnategemea majibu sawia mmepata garbage out
  13. sodoliki

    Wizara ya Afya yapiga marufuku watu kuzikwa usiku, yaagiza ndugu washirikishwe

    Jamani makofi matatu kwa korona, inamega kule kule juu, tuende tuu akili zitawapata, sisi kufa na kuzikwa tumezoea, sasa wao kifua india mafua marekani, poooo corona hiyo tuko wote hapa , corona hoyeeee
Back
Top Bottom