Mwl. RCT mimi nahitaji laptop mack book yenye capacity isiyo kubwa sana wala ndogo sana na size iwe ya kati siyo ndogo wala kubwa, nisaidie na bei pia iwe nzuri. Nisaidie Mwl.
Mimi si mwanachama wa chama chochote lakini napongeza msimamo wa Mh waziri, amefanya alichotakiwa kufanya kama Waziri mwenye dhamana, hongera sana Mh Waziri kwa kutambua wajibu wako!
Anthony, unakwenda duka la dawa unaomba kuuziwa septrine za 1000 na mafuta ya vaseline madogo kabisa au baby care kama alivyoshauri youngkato (daktari wetu ) unazisaga septrine mpaka zinakuwa unga bila chenga hata kidogo, unachanganya na hayo mafuta, vikichanganyika unapaka kwenye ugonjwa...
Nakushukuru sana youngkato nilitumia hiyo septrine ya 1000 na mafuta ya vaseline nilikuwa na fangas sugu mguu wa kulia kwa zaidi ya miaka 10 nimepona, asante sana Mungu akubariki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.