Recent content by sobstar

  1. S

    JamiiForums Tanzania Postgraduate online application za UDSM zina matatizo?

    Nimeshafanya hivyo ndiyo maana nikapewa serial number. Pia nilipojaza emails za referees, nikapata ujumbe unaosema referees washatumiwa emails kwa ajili ya recommendations. Referees wote watatu hawajatumiwa bado. Nimeshaona maombi ya watu wa miaka ya nyuma kukataliwa admissions kwa kukosa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Postgraduate online application za UDSM zina matatizo?

    Asante mkuu kwa ushauri ikishindikana itabidi niwafuate huko huko chuoni.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Postgraduate online application za UDSM zina matatizo?

    Asante mkuu kwa ushauri
  4. S

    JamiiForums Tanzania Postgraduate online application za UDSM zina matatizo?

    Nimefanya application ya Masters UDSM online. Nimefuata taratibu zote na nimefanikiwa kutuma maombi na kupata serial number (S/N). Lakini mpaka sasa kwenye application form inaonyesha kwenye REFEREE STATUS- Recommendation not submitted. Nimejaza emails za referees kwenye application kama...
  5. S

    JamiiForums Tanzania NACTE watangaza waliokosa nafasi-afya april intake 2016

    Zaidi ya waombaji 1900 waliyoomba kozi za afya INTAKE YA APRIL hawakuchaguliwa kwa kozi walizoomba. Muda wa maombi umesogezwa hadi 26/4/2016 ili wajaribu kuomba kwenye vyuo ambavyo bado vina nafasi. Hata wale ambao hawakuomba mwanzo, wanaruhusiwa kuomba kabla ya tarehe hiyo. Tembelea website ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Postgraduate referees, UDSM

    thanks a lot
  7. S

    JamiiForums Tanzania Postgraduate referees, UDSM

    ahsante kwa majibu mazuri
  8. S

    JamiiForums Tanzania Postgraduate referees, UDSM

    Wakuu Application za postgraduate za UDSM zishatoka. Application mwisho 13/5/2016. Pamoja na mambo mengine wanatakiwa Referees watatu. Je, hawa lazima wawe kati ya wale waliokufundisha BACHELOR DEGREE? Kwenye guideline yao hawaja upload ukifungua inasema : TO BE ADDED. Msaada Tafadhali
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    Net inasumbua hk bush niangalizieni s0332.0249.2009
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    Naomba msaada s0332.0249.2009
  11. S

    JamiiForums Tanzania Difference btw bachelor of computer science and bachelor of science in cimputer science nijulisheni

    ST JOSEPH UNIVERSITY:tongue::kev:
  12. S

    JamiiForums Tanzania Registration st joseph, songea

    Chuoni wamejaa wahindi kibwena and their language we acha tu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Registration st joseph, songea

    Nilikuwa chuoni leo ili upate registration na admission card uje na receipt ya crdb songea yenye malipo ya 750000. Ambayo ni minimum wakati unasubiri loan. Masomo rasmi ni 26/09/2012.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Boom hiloooooo

    Kijana acha swaga zako nimechomoka na vijiti vitatu so usiangaike kuni google utapoteza muda bure cha muhimu chukua concept au umesoma arts wazee wa kukremisha?:a s 465:
Back
Top Bottom