Recent content by SOARES

  1. SOARES

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kama huu ukurasa bado Voda mnapitaga napenda kuwajulisha kuwa kuna hujuma inafanyika ofisini kwenyu kwa mtu/watu walio zamu kuanzia saa kumi kamili hadi saa kumi na moja na dakika ishiri leo hii 2/11/2019. Sitasema hapa ni ni lakini hii ni hatua ya kwanza ikiwa ni taarifa itakayofanyiwa kazi
  2. SOARES

    Tanzania Airports and General aviation - UPDATES

    Samahani, kwa nini umegeuza bendera ya Taifa?
  3. SOARES

    Hivi wacheza porn ni binadamu wa kawaida?

    Zaidi ya asilimia tisini ni fiction tu. Futi moja na nusuau mbili zinaishilia wapi? Kwani kuna pango huko? Vile vile nilimsikia mtaalamu mmoja redioni akionya kuwa kupendelea kuangalia hayo kuna punguza nguvu za watazamaji katika kushiriki tendo hilo wakifanya wao.
  4. SOARES

    Kamanda wa Polisi Arusha: Gari la mbunge halikushambuliwa kwa risasi bali kitu chenye ncha kali

    Najiuliza tu, hivi ganda lilitakiwa liokotwe risasi ilipotoboa au ilikorushiwa/ilikotokea, yaani bunduki au bastola?
  5. SOARES

    Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Line za ofisini zitawekwa dole la nani?. Ukiwa na line ya nchi nyingine je?
  6. SOARES

    Nina wasiwasi kama Dreamliner yetu itapata abiria wa kutosha safari za ndani na nje. Huu ni ushauri wangu kwa ATC.

    Naomba kueleweshwa zaidi kwa aliyeelewa. Uwezo ni abiria 262, tiketi zilizouzwa ni 244, za asubuhi na 158 za jioni. Maswali yanayonigonga kichwa, 1. Hao 244 na 158 ni wakwenda Mwanza, je kurudi tutarudi tupu? 2. Kama tunasuasua hivi safari ya kwanza, je tutaweza kupata abiria wa kujaza kila siku...
  7. SOARES

    Maoni yangu: Wakuu wa Polisi watoke JWTZ

    Haya majeshi mawili yana majuku,mu tofauti sana. Polisi ni usalama wa Raia na Mali zao, wakati Jeshi ni ulinzi wa mipaka. Pili IGP toka Jeshini unadhani ndiye atayepiga Patrol, kukaa Counter, Kupeleleza kesi? Mimi sioni kama ni suluhisho labda iwe kwa nia ya Wanajeshi kupewa wilaya na Mikoa...
  8. SOARES

    Kukarabatiwa na kufunguliwa kiwanda cha general tyre kiliishia wapi?

    Hata ingesemaje, kile hakiwezekani tena labda tukijenge upya na siyo kukifufua
  9. SOARES

    Peter Zakaria asomewa mashtaka mawili ya kujaribu kuua, anyimwa dhamana

    haaa haaaaaa mbavu zanguuu haaaaa haaaaaaaaaaaaaaaa
  10. SOARES

    IGP Sirro kufanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi

    Huu usalama wa barabarani kwa kipindi sasa ni mipango mizuri aliyoiweka Mpinga.
  11. SOARES

    IGP Sirro kufanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi

    Eti eeh, itakuwa watu wanakuwa condemned unheard. Ingesubiriwa chanzo cha ajali ndiyo hatua zichukuliwe. Ikiwa ni hivyo, basi dunia nzioma inahusika maana hakuna aliejitokeza kuzuia. RIP wahanga wote, majeruhi tunawaombea wapone haraka.
  12. SOARES

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    Nasubiria majibu kwenye maswali hayo mawili, ndiyo niseme
Back
Top Bottom