I'm very much delighted by this amusing article.In fact it has imp rest me beyond measure. By the time I was at Musoma fresh from JKT and.......In war whether u like it or not avoid mistakes .Bravo TZ & TPDF.
Hakuna sababu za kulumbana .she ria ni sheria ,swala la wakati sio muhimu. Hakuna wakati wowote ambao kifo cha MTU yeyote nje ya mapenzi ya Mungu kinahitaji HURUMA. Anae advocate HURUMA namwona nae Kuwa muuaji. Kwa kifupi tii amri ya "USIUE".
Kwa kutambua kosa lako la kuvunja ahadi yako chukua hatua ya kuacha haraka. Usimuudhi muumba wako kwa kumfanyia hiana mwenzako was ujana wako hutafanikiwa.
Swali lako ni jema na la muhimu sana kwa kila mwanamume kulifahamu jibu lake. Nashukuru kwa kuwa muwazi kulitaja.najua ni tatizo la jamii kubwa hasa wanaume kwani wao ndio waathirika zaidi. Elimu yake sawa na kitchen party kwa vijana kabla ya ndoa.kwa vile wenye shida hao unaotaja ni wapenzi tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.