we need to trust our Judicial Systems, they are independent na wanasimamia haki , kwenye hili la Cyber crime niwape Hongera kea one step forward atleast there is a room wa hizo Preliminary Objections kusikilizwa. Big Up
moon ana nafasi mystical katika historia ya utamaduni wa binadamu, hivyo ni ajabu kwamba hadithi nyingi - kutoka werewolves kwa ikiwa kichaa kwa kifafa kifafa - kujengwa kuhusu athari zake zinatakiwa juu yetu.
"Ni lazima mwezi kamili," ni maneno kusikia wakati wowote mambo mambo kutokea na...
Approach iliyotumika sidhani kama ni rafiki kwa wawekezaji Tanzania, Je walikaa na management wakajadili iyo kodi? mamlaka hizi zinabidi zijieendeshe kijasiriamali na si kutumia mabavu na kuvunja uhusiano mzuri kati ya wawekezaji na hizi taasisi za serikali. Kma hivi ndivyo mtawatisha hata wale...
Engineer wa serikali atakayeipokea hi barabara in wakufunga jela kabisa.. Na Huyo atakayeenda kuifungua asikate utepe tu atembee aikague.. Nishapita hi barabara Iko chini sana ya kiwango.. Tuone Mzee wa kaya atafanya nn ni Njia ya kwenda Kwake...
Na kwa hili halivyolisimamia bado umelala tuu huoni, Mpe haki yake acheni fitna na uzandiki bwana..kafanya kazi nzuri, kasimamia ukweli mpaka leo hii wamekubali na makando kando yote yameonekana, Think..sio kwasababu unavidole na internet ya bure baasi unabwabwaja tuu
Nimemsikiliza kwa makini Mh.Mwigulu leo nimekubali kura yangu niliyompigia Singida haikupotea bure, wewe ni mtetezi halisi wa wanyonge, ameongea Kimamlaka, Kizalendo na Kwa niaba ya masikini. Tukiwa na viongozi kama wewe hii Tanzania itakuwa ni mahala pazuri sana pakuishi. Kuna baadhi ya Wabunge...
kama hujapewa pesa kwenye hili la ESRCOW au ndugu yako yeyote hajapata mpunga hapo, unahitajika kwenda kucheki akili yako vema kwa daktari....tuache ushabiki, mm mwenyewe ni kada mzuri ila kwenye hili hawa ndugu zetu wametupiga changa la macho
wewe unatakaje? wezi wakamatwe au? wananchi watapata pigo gani kwenye sakata hili kuwakamata wezi? hoja za yako haina mashiko.. ni Style ile ile ya tembo kufa... wakiponyoka hapo tunawasubiri mitaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.