Tundu Lissu akwepa kukabili kifua cha mh. Mwijage leo

Baada ya upepo wa suala la Escrow account kugeuka na undani wa swala hilo kuanza, kujulikana kwa Watanzania,hasa kwamba Fedha ya Umma nikiasi gani,na uhusiano wa Swala la Escrow na Kujiuzulu kwa Waziri mkuu nk,TUNDU LISU na Timu yake wamepoteza hoja na Muelekeo. (Wameingia katika hadithi ya mfa maji)
ASHKI MAJNUNI!!!!!!!!!:angry::yell:
 
Mtu kama wewe igekua china na uzi wako wa kngese hapa nikunyongwa tu yani unatetea majizi kwa mbwebwe wakati wa tanzania wanapoteza maisha kila kukicha kwa kukosa madawa maospitalin wazee wetu kule kijijini wanakimbizwa kwa ajili ya michango ya mahabari kila kukicha

1.Okay unaweza kueleza ni wapi nimetetea wezi. 2.Ulioanza nayo sioshida kwangu uliomaliza nayo ni ya msingi.
 
K##?#@ yaani daah kanuni zinabana humu lkn kwa kifupi kichwan umebeba kinyesi huna adabu kabisa

Okay lakini sasa Ungeonyesha, hicho "kinyesi"nikipi kwa hoja, pia ueleze nani huyo nilie mkosea adabu, na kwalipi? Shida ninayoiona umezoea kutoa unafikiri lkn hupendi kujibiwa kwa hoja.
 
Pengine hujui au hutaki kujua taratibu na namna mabunge ya jumuiya ya madola yanavyoedeshwa.
Hoja iliyopo mezani imeletwa na PAC kwa niaba ya BUNGE, wabunge wanachojadili ni mapendekezo yaliyotolewa na PAC kwa kuzingatia ripoti za CAG na TAKUKURU. Tundu amechangia kama wah, wengine kwa kujielekeza ktk HOJA husika, MF; Pesa ni ya umma au si ya umma. Je, taratibu, sheria na kanuni zilifuatwa ktk utoaji wa pesa hizi.
Sasa hapo Mh, TUNDU kashindwa ktk lipi?
 
ImageUploadedByJamiiForums1417156770.189699.jpg
 
wewe ni kinda tu huna hoja labda utuambie unafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili?

Kiungo hichohicho ambacho kimekuchanganya, hata umeshindwa kutoa hoja ya msingi kunijibu,mimi kwamba ni "kinda"naweza kukubali hilo jina, lkn cha msingi "LET'S ARGUE"
 
Baada ya upepo wa suala la Escrow account kugeuka na undani wa swala hilo kuanza, kujulikana kwa Watanzania,hasa kwamba Fedha ya Umma nikiasi gani,na uhusiano wa Swala la Escrow na Kujiuzulu kwa Waziri mkuu nk,TUNDU LISU na Timu yake wamepoteza hoja na Muelekeo. (Wameingia katika hadithi ya mfa maji)

Hivi mtu anapokuwa anaandika amashirikisha ubongo au inakuwa ni vidole tu? Shame on you! Mlishaambiwa na Werema kichwa kisiwe kwa ajili ya kufugia nywele.
 
Baada ya upepo wa suala la Escrow account kugeuka na undani wa swala hilo kuanza, kujulikana kwa Watanzania,hasa kwamba Fedha ya Umma nikiasi gani,na uhusiano wa Swala la Escrow na Kujiuzulu kwa Waziri mkuu nk,TUNDU LISU na Timu yake wamepoteza hoja na Muelekeo. (Wameingia katika hadithi ya mfa maji)

Kikwete alisema hajui kwa nn TZ ni maskini: WABUNGE WA CCM NDIO DEFINITION YA UMASKINI WA TZ.
 
Baada ya upepo wa suala la Escrow account kugeuka na undani wa swala hilo kuanza, kujulikana kwa Watanzania,hasa kwamba Fedha ya Umma nikiasi gani,na uhusiano wa Swala la Escrow na Kujiuzulu kwa Waziri mkuu nk,TUNDU LISU na Timu yake wamepoteza hoja na Muelekeo. (Wameingia katika hadithi ya mfa maji)

kama hujapewa pesa kwenye hili la ESRCOW au ndugu yako yeyote hajapata mpunga hapo, unahitajika kwenda kucheki akili yako vema kwa daktari....tuache ushabiki, mm mwenyewe ni kada mzuri ila kwenye hili hawa ndugu zetu wametupiga changa la macho
 
Back
Top Bottom