Recent content by sney

  1. S

    Mgomo wa wafanyabiashara sumbawanga mjini

    Hivi na akili zenu timamu na mawazo yenu finyu mnazani wafanya biashara hawalipi kodi, miaka yote mpaka wanafungua unamaana walikuwa hawalipi tatizo ni mfumo wa hizo machine
  2. S

    TRA wanataka 18% mfanyabiashara faida 2-4%

    Wapi Minja Johnson men ulitakiwa kupewa kile kiti kikubwa cha TRA u rock president please meet the guy anaipenda nchi yake, linda uhai wake please
  3. S

    TRA wanataka 18% mfanyabiashara faida 2-4%

    Weee Asad, una miaka mingapi kwanza, usikute unamiaka 14yrs old, biashara imeanza mwaka gani tanzania? Na kama walikuwa hawalipi au wanakwepa serikali ilikuwa wapo miaka yote hiyo? Elewa kila mtu anawwza uza milioni kumi na nne ila je kwenye hayo mauzo faida yake ni ngapi? Na anampa TRA ngapi?
  4. S

    Wananchi inabidi muelewe migomo ya wafanya biashara

    Ni siku ya tatu ya mgomo so far habari nilizo zipata mikoa mingi imeiunga Dar kwa mgomo, kuna sababu ebu tuendelee kupeleleza
  5. S

    Wananchi inabidi muelewe migomo ya wafanya biashara

    Thank you mr beirut, wapi francis?????
  6. S

    Wananchi inabidi muelewe migomo ya wafanya biashara

    Pole baba unasafari ndefu sana, mungu akurahisishie njia mo......
  7. S

    Wananchi inabidi muelewe migomo ya wafanya biashara

    Wewe francis uliyemaliza harvard lete thread yako, u need info for the EFD, do a research kwa uelewa wangu nimegundua hata nikikwambia your not of help
  8. S

    Wananchi inabidi muelewe migomo ya wafanya biashara

    Huyo mwananchi atakae shawishiwa kuandama atakuwa zuzu, siatumie ufahamu wake wa kuzaliwa, atatumia ufahamu wangu je anajua unatoke la aina gani? Its free world, I give ma views, mie hata sio mfanya biashara ila nimewasikiliza hao wafanya biashara na nimeelewa, wewe nani asiyetaka kulipa kodi...
  9. S

    Wananchi inabidi muelewe migomo ya wafanya biashara

    Balaki, we don't need kumshawishi mwananchi a strike, cos for mfanya biashara ataongeza price to cover up the 18% but the problem comes wateja watatoka wapi, coz bandari kwa kuongeza ushuru tulipoteza wateja wa nchi za jirani that means tumebakiwa na internal market which is not good for the...
  10. S

    Wananchi inabidi muelewe migomo ya wafanya biashara

    Migomo hii si kwa faida ya wafanya biashara tuu ila bali ni kwa wananchi kwasababu jiulize mfanya biashara anamuuzia nani kama sio mwananchi, that means kila kitu kitapanda bei ujenzi, uvaaji, vipodozi, simu vyote vitakuwa juu, wananchi amke jamani open your eyes and see, kila kitu kinapanda...
  11. S

    EFD: Wafanyabiashara mkoa wa Iringa wagoma kufungua maduka

    Hizo machine niza kifisadi
Back
Top Bottom