Recent content by Sneaker Headz

  1. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    hapa naweza tetea Wakenya,wanayo Nchi ambayo Haina mvua,Yani ata ukijaribu kupanda vyakula havimei,ama hayo kidogo yanaliwa na ndege kwasababu ya makali ya njaa! Hapa Tz tumshukuru Mola kwa kuwa hatujapitia makali ya ukame Kama ambayo Kenya inayapitia. Ingekuwa nisisi uko Kenya tungekuwaje...
  2. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    I wish ingekuwa imejengwa uku kwetu Dar🇹🇿🥺uku kwetu Barabara za kikorea tuuh!mashambani !!
  3. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    kwani Tanzania kwetu hakuna wabeba maji na mkokoteni???kwanza Dar ni wengi sana!!!🙄mumependa sana kujifanya highclass jamii forums na uko chini watz tunaumia!!
  4. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tanzania tuko pabaya sana,Magu alitudanganya eti sisi ni donor country😭nimecheki reli yetu🚮🚮🚮 ata heri ya Kenya iko Kama ya USA,yetu tumeletewa ya kubeba wakulima wa kahawa uko Korea🚮
  5. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    bless ya soldier,fire pon Dem affi beat wet pants Nigga fi scream MoMa MoMa😂😂Niga fi scream🤝
  6. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  7. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    ATI Nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  8. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Uongo Gani Sasa??Kwanza Kenya unapata Waganda,Warwanda,Waburundi na Watanzania wakitafuta Pesa,Kenya Kuna chance Nyingi sana
  9. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mimi mwenyewe marafiki wangu karibu wote wameajiriwa Kenya,Na Pesa NonoNono zinaingia kwenye Benki🤑Wakenya hawana Zarau na wivu Kama Tanzania
  10. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kumbafu Kwani wakenya hawaongei Kiswahili,Mulidanganywa Na Nani???????🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aibu hii
  11. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Njoo unigonge na wewe 🙄
  12. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mimi hawanibabaishi ata waniite nini mi sijali,Bora tu ukweli usemwe
  13. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Siku za Magufooli
  14. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mimi Mgikuyu,kakwambia Nani🖕wwe wwe umetaja Shoga niwwe,hio Ndio Kazi yako💩
  15. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ukweli kabisa Kazi ya Jeshi ya Tanzania kutoka Vita za Kagera ziishe,Jeshi letu limekuwa lakupiga Raia wake Just imagini 😬😬😬
Back
Top Bottom