Recent content by Snadareal

  1. Snadareal

    Nimedhulumiwa Makazi yangu na Mtumishi wa Halmashauri ya Singida

    NIMEDHULUMIWA MAKAZI YANGU NA BW. IBRAHIM ARON, MTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA NIKIWA CHUONI. MAKALA YA WAZI KWA WATU WOTE Kwa jina naitwa John Hassan mkazi wa kijiji cha nduu kata ya kijota tarafa ya Mtinko, mkoa wa Singida . Nimezaliwa miaka 25 iliyopita. Katika familia yetu mimi...
  2. Snadareal

    Nimedhulumiwa Makazi yangu na Mtumishi wa Halmashauri ya Singida

    NIMEDHULUMIWA MAKAZI YANGU NA BW. IBRAHIM ARON, MTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA NIKIWA CHUONI. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]MAKALA YA WAZI KWA WATU WOTE[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Kwa jina naitwa John Hassan mkazi wa kijiji cha nduu kata ya kijota tarafa ya Mtinko...
  3. Snadareal

  4. Snadareal

  5. Snadareal

    Nimedhulumiwa Makazi yangu na Mtumishi wa Halmashauri ya Singida

    MAKALA YA WAZI KWA WATU WOTE Kwa jina naitwa John Hassan mkazi wa kijiji cha nduu kata ya kijota tarafa ya Mtinko, mkoa wa Singida . Nimezaliwa miaka 25 iliyopita. Katika familia yetu mimi ni mtoto wa mwisho ndugu zangu wote wakike na wakiume wote wanafamilia zao. Kwa sasa siishi nao. Nilifiwa...
  6. Snadareal

    Nimedhulumiwa makazi yangu, mahakama haijanitendea haki

    Nilienda kwa mkuu wa wilaya kipind cha likizo fup mwez wa tatu nikamwelezeeea shida yang akatoa maagizo lwa mwenyekiti wa kijiji na mtendaji nao pia hawakutekeleza nikamrudia tena akatoa maagizo kwa diwan kuwa diwan ahakukishe nimepewa eneo lang na pia mjomba atafutwe alipo afungwe ila diwan...
  7. Snadareal

    Nimedhulumiwa makazi yangu, mahakama haijanitendea haki

    Nimeenda kwa mkuu wa wilaya hakuna majib
  8. Snadareal

    Nimedhulumiwa makazi yangu, mahakama haijanitendea haki

    Ndio kikao cha ukoo kiliniteuaa lakin kutokana na kuwa mimi ni mwanafunzi sikupata muda wa kufatilia mirathi mahakaman kwan hatukuwahi kuwa na mgogoro wa familia kuhusu ardhi . Ni mjomba ameamua vile
  9. Snadareal

    Nimedhulumiwa makazi yangu, mahakama haijanitendea haki

    NIMEDHULUMIWA MAKAZI YANGU NA BW. IBRAHIM ARON, MTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA NIKIWA CHUONI. Kwa jina naitwa John Hassan mkazi wa kijiji cha Nduu kata ya Kijota tarafa ya Mtinko, mkoa wa Singida. Nimezaliwa miaka 25 iliyopita. Katika familia yetu mimi ni mtoto wa mwisho ndugu...
  10. Snadareal

    Hizi ndio sababu kuonyesha kuwa CCM ni chama dhaifu sana

    We kejof2 siku ukikua utaona kuwa ulikuwa umepotea kama sisi wapinzani tunaumizwa na huu udikteta pekeee yetu basi Hamna shida lakin kumbuka katika huu huu upinzani WaPo na ndugu zako kama we hauumiii wataumiiia wao siku wakifa utapata akili #UKUTA
  11. Snadareal

    Mwl. Nyerere alifanya Kosa kubwa Kuvunjia Uhusiano na Israel

    Ni kwel kabisa Israel ni taifa imara na lenye nguvu za ki Mungu. Mungu alilibariki Milele na milele so huwez kuliondoa taifa la Israel kweny ramani ya Dunia nafikiri tuige mfano kwa hawa wenzetu wa Kenya. Mwl Nyerere alikuwa amefungamana na siasa za ujamaaa ambapo alijikuta kufungamana na USSR...
Back
Top Bottom