unajua kuwa una Uhuru wa kuamua kula ama kutokula? ukiamua kutokula hakuna atakayekulazimisha, lakini unajua matokeo ya kutokula? utakufa eventually. that's nature, that's God...its as clear as gravitational pull.
ukiamua kutokula ukafa, utasema umeadhibiwa? inawezekana wewe kutokula umeona ni...