Recent content by SMP899

  1. SMP899

    Mahusiano dini tofauti, kipi ni sahihi cha kufanya?

    lkn pia ni vzur kuamua mapema watoto wenu watafata dini ya nan coz familia nyngne utakuta kaka mkristo alf mdogo wake muislam ki2 ambach kwa mtazamo wangu c kizur
  2. SMP899

    Wadada mnaotaka ndoa kwa nguvu mnatutesa wadandia magheto

    hizo ndo challange za maisha bro! we fanya kujipanga upya utafute getto lako
  3. SMP899

    Padri huyu analidhalilisha kanisa Katoliki parokia ya Kirumba

    jaman kumbukeni mwanzoni mwa mwaka huu papa alitoa ruksa kwa padri yeyote anayejisikia kuoa afanye hivyo,pia ameruhusu wanawake kuwa mapadri kwenye baadhi ya nchi kadhaa....kwa wale wanaofatilia habari mnajua.
  4. SMP899

    Mume wangu ananinyima unyumba

    angalia series ya IF LOVING YOU IS WRONG utapata majibu ya kwa nn anafanya hivyo
  5. SMP899

    Nitamtongozaje demu niliyemuona mara ya kwanza?

    juc an advice,kama hauna something special kinachoweza kukutofautisha na wanaume wengine wa kawaida kama pesa etc..huwezi kumtongoza msichana kwa mara ya kwanza akakukubalia "labda awe kipori" lakini njia rahisi ya kumpata ni kutengeneza kwanza urafiki naye alafu mambo ya kutongozana baadae
  6. SMP899

    Hizi ndo tabia za wanawake warefu

    wengi wana hizo tabia lakin sio wote
Back
Top Bottom