Recent content by smirna

  1. S

    Mahakama Kuu yafuta kesi ya madai dhidi ya Askofu Kakobe kwa kukosa mashiko

    Waligeuza kibao, sasa kimewageukia tena. UONGO HAULIPI!
  2. S

    Angalizo kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!

    BIG UP KING COBRA!!!! Hats off to you! Kama Slaa ana masikio asikie maneno haya! Kupanda mnazi ni kazi kubwa na huchukua muda mrefu, lakini kushuka ni dakika moja. Vivyo hivyo, kujenga heshima katika jamii ni kazi ngumu inayochukua muda mrefu, lakini heshima hiyo inaweza kuporomoka kwa dakika...
  3. S

    Kakobe amshukia Lowassa, azungumza kuhusu Kura ya Maoni

    gumegume, what a great summary of that powerful teaching of the Word! Siku ya Pasaka, nilikuweko in person katika Ibada hiyo, ulivyoandika ndivyo hasa Kakobe alivyozungumza.
  4. S

    Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

    Na mimi naunga mkono hoja kwa asilimia 1000
  5. S

    Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

    Big Up Kakobe!
  6. S

    Kakobe aeleza mambo matatu ya msingi ili Uchaguzi uwe huru na wa haki

    Askofu Kakobe alitangaza jana kwamba TShirt hizo zitauzwa kwa yeyote kwa bei ya TSh 3,500/= tu.
  7. S

    Askofu Mkuu Dallu anasimikwa sasa umati ni mkubwa sana!

    Kanisa la Mitume hawakuwa wakiomba kwa kutumia rozari, na vilevile majengo yao ya Ibada yalikuwa hayana sanamu kabisa. Mitume walikemea kwa nguvu zote unajisi wa sanamu (MATENDO 15:20; 1YOHANA 5:21).
  8. S

    Ndoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!

    Kweli kabisa, mimi ni mshirika wa Kanisa la FGBF, na leo nilikuwepo katika ibada Mwenge, huu ni uongo wa kutisha. Askofu Mkuu Zachary Kakobe amezungumza kwamba pamoja na wajibu wetu kuhubiri pale tulipo katika eneo la nyumbani, hatuna budi kufuata kielelezo cha Yesu Kristo cha kuhubiri pia...
  9. S

    Mstakabali wa nchi yetu Askofu Kakobe

    Kuinyima coverage!!!!!!?????? Hawa jamaa bado wanaishi enzi za ujima! Nyakati za kizazi hiki cha dot com, hakuna unachoweza kukificha kisiwafikie wananchi!
  10. S

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Haya ni maneno ya mfa maji ambaye haachi kutapatapa. Hii ni karibu siku ya nne sasa, tangu uzi huu umewekwa hapa, na hakuna hata mtu mmoja duniani ambaye ameweka hapa, vielelezo vya majumba na mali za kifahari za Askofu Kakobe. Wengi wameshituka na kujua walidanganywa na redio mbao, wewe bado...
  11. S

    Askofu Kakobe kuzungumzia muundo wa Muungano katika Neno la Pasaka 20.4.14

    Kakobe hahongeki! Wewe subiri nondo za uhakika, utakuja kuniambia!
  12. S

    Askofu Kakobe kuzungumzia muundo wa Muungano katika Neno la Pasaka 20.4.14

    Mungu ana maarifa yote (AYUBU 37:16; ZABURI 147:4-5), hivyo Neno lake, lina mwongozo kwa kila jambo katika maisha ya wanadamu duniani (WAEBRANIA 4:12-13), ikiwa ni pamoja na Muungano na Katiba.
  13. S

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Huku ni kutapatapa kwa mfa maji! Tangu lini ukungu kwenye rangi ya ukuta ukazuia watu kuishi kwenye nyumba?
  14. S

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Wameishia kubwabwaja matusi badala ya kujibu vielelezo kwa vielelezo! Wameumbuka! Mbio za sakafuni, huishia ukingoni!!!!
  15. S

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Zaidi ya saa 24 sasa zimepita tangu uzi huu uwekwe hapa, na hakuna hata mtu mmoja duniani aliyeweka hapa vielelezo vya majumba ya kifahari na maisha ya kifahari ya Askofu Kakobe. Zilizoko hapa tu muda wote ni blabla tu za "labda". Baadhi ya Watanzania, wanapenda kukaririshwa tu maneno ya mitaani...
Back
Top Bottom