Recent content by SMC TZ

  1. S

    MACHIMBONI: Sitosahau nilivyonusurika kufa

    Sema nao jamaa walikuwa na maksudi tuu ... unamwachaje mgeni apande wakati kiroba hakijafika juu ... alitakiwa akae station..(fonka). Those days....mwabomba,Nyakasaluma,Mwime,Nyangalata, Bukandwe,Nyakafuru,Nyakahula...
  2. S

    Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

    uzuri ni kwamba huendi kwa maamuzi yako utafikishwa hapo na GCS ya 5/15 ..mkuu watakugusa tuu usiwe na shaka na utakuja kure-gain counciousness ukiwa hapo
  3. S

    Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

    Training ya medicine haiko hivyo lazima trainee aguse mgonjwa under supervision ... No short cut and MNH-MLG haina wanafunzi wengi compared to MNH-upanga
  4. S

    Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

    Kwa unavyojua MLG siyo MNH eeeh?
  5. S

    Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

    wakajifunzie wapi?
  6. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ahaa wacha tuisubiri over 1.5 inatoa hii
  7. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game ya simba Vs Ahly wameitoa BP haionekani..... mhindi kanusa hatar gani?
  8. S

    Hivi kwanini watu wana moyo mgumu sana wa kusaidia??? (Na sijaomba hata pesa)

    Umeshawahi kumsaidia jamaa/Ndugu akapata connection ya kazi, au tender ... then akaharibu? unajua how hard kuwa referee wa watu ambao wengi wao tukipewa connection tunaenda kuharibu reputataion ya wale waliotu-recomend? Any way don't take it personal saidia nenda zako.....
  9. S

    Ushauri; Robertinho uwe unafanya rotation ya wachezaji ili kuepusha kupigana misumali

    Kama nimekuelewa vizuri ... unataka kusema wachezaji wenu ni wachawi?
  10. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    salernitana ka-level score board
  11. S

    Inakuaje Kila ukimfadhili mtu mwisho wa siku lazima akulipe baya

    you need to lower your expectation's
  12. S

    Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Nikawa mkali tuu, nikawaambia kama hazingatii taratibu/Ethics za kazi yake waamue tuu kutokana na taratibu za ofice yao na nisiitwe tena sijui mdogo wako kafanya nini mkuu njoo....
  13. S

    Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Tunamatatizo ya uaminifu last year i did to my own young bro,,,, Alichoenda kufanya sasa kwenye ofice za watuu daaah daily naenda kumtetea mwishowe nikaona nisiharibu reputation yangu.
Back
Top Bottom