Recent content by Smarts

  1. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Tupashe fasta tuna hamu sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania P Square live in Dar - Leaders Club

    Jamani dola laki mbili na millioni 6 wapi na wapi duuuu??
  3. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    hongereni sana kamati kuu ya CHADEMA kuchukua maamuzi magumu ila muhimu kwa uhai wa chama na manufaa ya nchi kwa ujumla. CCM hapo ndio wanachemka kulea watu wenye matatizo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    kamati kuu tunawapongeza sana kwa kuchukua maamuzi magumu hapo CCM ndio wamechemka miaka yote kushindwa kuonya wanaoharibu sifa za chama. Peeeeeeople's Power tuende kazi..
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sitta: Bilioni 10 zimeandaliwa kwa ajili ya rushwa urais 2015!

    Kwani ilo jipya mbona ata awamu inayokaribia kumalizika viongozi waliingia kwa njia ya rushwa... CCM imeoza kabisa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Al-Shabaab militants ban residents from using smartphones!

    Does it mean al shabaab are more powerful than somali government? How comes they can utter such nonsense and government officials keep quiet??
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Yani huyo dada hajawa serious kweli nitoe mbegu zangu tena nisijue mtoto anaishi wapi? Kwenda zako kaa na vijisenti vyako tuone kama pesa zitakuzalisha.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Wewe dada usitupotezee muda, mwenye akili timamu hawezi kukubali hayo masharti yako. Wewe ndio mwenye shida tena unaleta jeuri mara hakuna ngono baada ya kupata mimba, ata kama una pesa kuliko Dangote utafanikiwa kaa na pesa zako bila mtoto tuone.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Kusema ukweli Miss M4C u cant be serious hakuna mwanaume yenye akiri zake anaweza kufanya hicho unachotaka labda utapata tayira tu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    una umri gani, unafanya kazi gani, unakaa wapi??
Back
Top Bottom