Recent content by Smartkahn

  1. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Usipuuze idea unazopata ukiwa kwenye maeneo haya:-

    Ukiwa unafanya usafi nyumbani... Mfano; umeamka saa kumi na moja alfajili ukatoka nje kufagia uwanja.
  2. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi kupata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni vigumu sana ?

    Serikali haiongozwi na malaika inaongozwa na binadamu tu sometimes ni wakawaida kukushinda hata wewe. Kama Binadamu hivyo wanamapungufu, tamaa na urafi wa mali, Ego na kujihisi mwenye nguvu katika jamii. Kama hakutakua na kiongozi wa kuwaongoza wengine waiogope na kuiheshimu sheria mapato na...
  3. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Mimi nadhani unahitaji muda zaidi. Usiwe na haraka... Airisha hayo matukio yasogeze hadi mwaka kesho kutwa hapo katikati hapo muda utakupa majibu sahihi.
  4. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania NITAWATOFAUTISHA VIPI !??

    Kama huoni shida yoyote kwenye jamii basi wewe ni sehemu ya jamii(kabila moja na hawa wenye changamoto za kifamilia) Same operating system huwezi ukaona changamoto iko wapi... Shida itaanza pale mkurya au muhehe akaoa makabila ya pwani humu (Kwa kifupi sana atakua amejichanganya) atakutana na...
  5. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania NITAWATOFAUTISHA VIPI !??

    Kijana asikutoe mtu kwenye reli kabila linamstakabali mkubwa sana kwenye tabia ya mtu. (Ndio operating system ya mtu). Na hiyo list ni yenyewe imenyooka.... Sasa kwenye hiohio sample size humo hawakosi wazuri na wabaya, sasa ni jitihada nyingine inahitajika kupata mali safi.
  6. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

    Sio porojo hayo maelezo ndio uhalisia wa maisha yalivyo... Na kama hauna Ufahamu mkubwa hata elimu ikiwa duni ambapo hapa ndio tupo wengi... Basi njia rahisi ya mtu kama huyu kushift frequency, ni kujihusisha na ibada/dini hususani mafundisho ya injili ya Yesu. Injili mafundisho yake...
  7. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Watu wenye silaha nzito watauawa kwa kudunguliwa

    Muadhama Polycarp Cardinal Pengo.... Hekima yake ituongoze Rohoni
  8. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kutakua na hari ya dharura itakayohusisha vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi.)

    Kwasasa sijafikia viwango hivyo labda huko mbeleni. Kitu pekee nirichojihakikishia ni kwamba ufunuo wowote ukinijia huwa unakuwa katika timeframe ya ndani ya miezi miwili... Hapo mwingine utadhihirika ndani ya siku tatu, mwingine mwezi mmoja na nusu nk ila ikifikia miezi miwili mara nyingi...
  9. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kutakua na hari ya dharura itakayohusisha vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi.)

    Hii habari ni Ufunuo mkuu. Hili ni tukio litatokea/dhihirika siku za usoni... Nimejichanganya hapo katika uwasiliahaji, kwasababu katika Ufahamu wangu hilo tukio nimeli-term kama limeshatokea... Kwakua nimeshaliona tayari.
  10. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kutakua na hari ya dharura itakayohusisha vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi.)

    UFUNUO. Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini. Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika. Hiyo convoy...
  11. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania JMT-Maboresho yanakuja-Nawaomba watu wa Rohoni tukoleze nia katika maombi na dua zute ili mabadiliko yanayokuja yawe kamili na yenye athari chanya.

    Sheria ni msumeno hukata huku na huko... Wananchi wasipofuata sheria wanahukumiwa, ila watawala hawafauti sheria kwa makusudi kabisa na hawabahatishi wanarudia tena na tena lakini sheria haiwahusu.... Kwa tulipofikia kama unataka haki na amani kwa njia ya MEZA haiwezekani/imeshindikana...
  12. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Anaelekea kupata Mafao nimemshauri awekeze kwenye Bonds kakataa, anataka kufungua Baa

    Ushauri wa muhimu hapo we mwambie asiwe na haraka... Achukue huo mpunga autupie kwenye fixed account kwanza... Muda huo autumie kufanya utafiti wa biashara gani afanye kupitia watu waliofanikiea kenye hiyo biashara anayoitafiti... Hadi muda wakutoa pesa ukifika atakua anamajibu ya uhakika ni...
  13. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Bilionea na Infulencer mkubwa, Zeus kaja Zanzibar Media kimya, sijui tukoje

    Mdau anahoja yenye mashiko kwa manufaa mapana ya ukuuaji wa uchumi kuelekea 2050 vision. Hatuwezi ku-attract more people kama tutakua wazembe kwenye kuchangamkia fursa. Jana tu mdau mwingine amelalamikia Tanzania Safari Channel kutotengeneza vipindi vyenye maudhui ya wakati uliopo. min -me...
  14. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Political Debate: Tanzania's current democratic governance system.

    Ningeomba pia vyama na wadau wa siasa nchini wachukue kama wazo na walifanyie kazi katika majukwaa mbalimbali ili tu kuhakikisha vijana wakeleketwa wanarumbana kwa hoja kwa mustakabali mzima wa Taifa lao. Kwani sifia sifia na uchawa ni kuharibu potential ya vijana smart na machachari kwa kesho...
  15. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Political Debate: Tanzania's current democratic governance system.

    Does Tanzania’s current democratic governance system genuinely serve the interests of its citizens and provide the best foundation for Tanzania’s future development? ======================= Motion states that “This House believes that Tanzania’s current democratic governance system is effective...
Back
Top Bottom