Recent content by smartdunia

  1. smartdunia

    Usaliti (simulizi ya kusisimua)

    Na Smartdunia. ‘’FURAHA NILIYOKUA NAYO TANGU NIKIWA MDOGO,ILIANZA KUFIFIA’’,Jessica alisema huku akifuta machozi kisha akaendelea. Nakumbuka siku ile, tarehe za mwanzoni mwa mwezi wa saba miaka kumi iliopita,niliamka asubuhi nikiwa nimechoka sana. "Uchovu wa leo sio wa kawaida...
  2. smartdunia

    Kaa mkao wa kula kwa kitabu cha Mtazamo sahihi Juu ya mapenzi na ndoa

    Na Smartdunia. Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamii forum. Awali ya yote nipende kutoa pongezi za dhati kwa majukumu ya kila siku yanayotujenga sisi wenyewe na jamii kiujumla pia napenda kuwaasa kwamba tusichoke kupambana kwani kazi ni kipimo cha utu. Hivyo tumuombe Mwenyezi Mungu...
  3. smartdunia

    Maendeleo na muda

    Asante sana Elly,kura yako ni muhimu pia mkuu
  4. smartdunia

    SoC01 Njia sahihi zaidi za kumjua mtu wa kumpa jukumu la Uongozi

    Usijali mkuu,kura yako ni muhimu sana.asante
  5. smartdunia

    SoC01 Njia sahihi zaidi za kumjua mtu wa kumpa jukumu la Uongozi

    Na Smartdunia. Uongozi ni jambo kubwa na lenye umuhimu mno katika ngazi yoyote Ile ya jamii. Iwe ngazi ya familia,kitongoji,kijiji au,kata,tarafa na hata nchi,inahitaji kiongozi wa kufanya maamuzi ili mambo yaweze kuenda mbele. Acha mbali kabisa kutokuwepo kwa uongozi,tuongelee swala la...
  6. smartdunia

    SoC01 Jiongeze zaidi

    Usijali kabisa ndugu karibu tena
  7. smartdunia

    SoC01 Jiongeze zaidi

    Kitabu cha Satanic verse kimeandikwa na Salman Rushdie
  8. smartdunia

    SoC01 Jiongeze zaidi

    Vincent van Gogh kwa mujibu wa Wikipedia [emoji116] Vincent Willem van Gogh was a Dutch post-impressionist painter who posthumously became one of the most famous and influential figures in the history of Western art. In a decade, he created about 2,100 artworks, including around 860 oil...
  9. smartdunia

    Maendeleo na muda

    Usijali ndugu karibu tena.
  10. smartdunia

    Maendeleo na muda

    Na Smartdunia Ni dhahiri tangu tulivyofahamu maana ya neno muda, basi tumeshalitaja neno hili mara nyingi kiasi kisichohesabika. Lakini pia ni jambo la kushangaza mno kwani wengi Bado hawajajua thamani ya muda kwani Bado wanaupoteza pasipo kujua. Nanukuu kutoka kwa Bruce Lee mwigizaji wa...
  11. smartdunia

    SoC01 Jiongeze zaidi

    "Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake",msemo huu uliobeba maana,yamkini unatumiwa na waswahili kufikisha ujumbe kwa watu kua watu wanatakiwa kuishi kulingana na uwezo wao wa kimaisha ulipoishia,lakini kwa upande mwingine tunapaswa kukubaliana kua matumizi ya msemo huu ni sahihi kwa asilimia zote...
  12. smartdunia

    Njia sahihi ya kutimiza ndoto

    Imeandikwa Na Smartdunia. Nasikitika kusema,huu ni ukweli unaoumiza, lakini wenye uwezo wa kukubadilisha kabisa. Hebu tuanze na kauli hizi tulizozizoea Kisha tujue madhaifu na mazuri yake yote. "Tafuta pesa ili watoto wako wasikae kwenye vijiwe kubishana kuhusu Diamond na Harmonize" "Tafuta...
  13. smartdunia

    Chakula kama dawa

    Imeandikwa Na Smartdunia. Utasikia "biashara ya dawa inalipa kwasababu magonjwa yapo kila siku". Mara utasikia,"ukijisikia vibaya nenda haraka kamuone daktari usije ukachelewa". Tena utasikia,"Yupo mtumishi wa mungu ambae hakuna tatizo linaloshindikana kwake,nenda haraka ndugu yangu". Hayo...
Back
Top Bottom