Siasa mchezo mchezo mchafu sana, sasa mh. MBOWE uwenyekiti wa kudumu katika shame duuh!! Hiii ni hatari sana vipi kama utapewa nchi si ndo utawala wa kifalme kabisa, mi nadhani muda mwingne viongozi wawe na busara waachie ngazi hatimae washike wangine nao tuoone uongozi wao. Ni hayo tu na pia...
Pamoja na sheria zote kuwa kichwani mwake makini bado tuu anatumia ubavu duuuuh!! Kweli akili ni nywele kila mtu anazake Werema waenda wapi siasa imekushindaa??
Bado shaka na hvi vyama vyote vya siasa maaana shame kikisimama imara tayari mdudu wa furugu anaingia daaah!! Tanzania chungu cha majungu na fitina kweli nani alale njaa ili amuokoe mwenzake?? Jibu ni hakuna tutabaki hapa hapa !!!
Hakuna cha maaana madaraka ya kupeana ndio hayaa jmniiiiiii na hiii ndio ile kaúli ya kwamba "ukoloni mambo leo umetupa uhuru wa bendera tuone kufuru za wenye hera " ndo hiiiiiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.