Recent content by Slow pancha

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Unajitutumua unahonga M.1 mwisho wa siku unabatizwa jina DANGA
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

    Nitafute nikusaidie upate mimba uzae,niko na uhakika khs hilo
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba unirudishie hela yangu kabla sijachukua maamuzi magumu

    Masawee,acha utapeli mlipe mwenzio pesa yake.m3 sio ndogo usawa huu.yaani ningekua mimi we masawe ningekugeuza punda upandwe kila siku maamae
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza kwenda USA yaliyonisibu

    Ndio,kokote uliko
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza kwenda USA yaliyonisibu

    Naomba uwe mwenyeji wangu hapo ulipo sasa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wabebe maiti?

    My dear,hujaisoma post vizuri hrf tunaonana lini?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

    Dah,nimeona Mama ngu wa upepo wa kisurisuli alivyopiga na meza kwa kushangilia mtu kupigwa risasi,kweli mtawatambua kwa matendo yao
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

    Ingine ya kuitarajia ni pale kutoka msolwa kuja mdaula darajani pale wanapoosha vijana magari Kama unakuja mdaula mkono wa kushoto pale kuna handaki moja hatari,na juzi fulani nilikuta roli lililokua limepakia rami limeanguka pale,na leo mi kdg linitoe nje ya barabara lile handaki
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wa mabasi wanaposhuka mlima Kitonga hujiachia sana ukilinganisha na wale wa malori

    nimeona nichangie nami hapa,mi ni dereva wa roli japo kazi ya basi pia nimeifanya.na nimengia dar Jana usiku nikitokea kamoto kolwezi huko nchini DRC,hivyo juzi nimeshuka kitonga,sasa ni hv,dereva anaeendesha basis anaposhuka kitonga au mteremko mkali kwa speed kinachomdanganya ni wepesi was...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Picha iliyozua utata duniani na kupelekea kifo cha mpiga picha

    Story imenihuzunisha sana,duh njaa isikie tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Madereva magari (Sehem ya 6 & 7)

    Ungeleta mada inayohusu fula gearbox au Hilton ningechangia
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za Meya wa Jiji la DAR kushikiliwa Polisi.

    Jamaa hataki upinzani
  13. S

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma walaza abiria Tangu Jana SAA 12 jioni

    Tairi ya teliasi ikiwa kipara inazuiaje gari kuendelea na safari,tuacheni mihemko
Back
Top Bottom